APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,739
Alafu demu niliyemzoe nakula kimazoea ni kama gari jipya,kabla ujalizoea unaendesha mara kwa mara ukishalizoea unalipaki tu,unaendesha mara chache sanaHiyo ndo huwa naweza japo huwa haitokei mara kwa mara. Ni mpaka kwa demu mpya Tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Au wewe unaunganisha kwa hadi ulomzoea sana?
Naomba liftChuma kinaamsha kuelekea kigoma moja[emoji1787]
Kwani lazima nikufungukie life langu litakusaidia nini mkuu?unamaisha duni sana alaf unasema unafanya kaz sasa hyo kaz inakusaidia nn
Hahah!! Nimecheka sana kaka. Katika ma X ulokula hakuna ambaye ulikula bila kujua, ukakuta ni mke wa mtu?[emoji23][emoji23] iyo mbon ni kawaid me ma ex wng wote nikitak nakula mzigo na naendelea kuheshim mahusaino yao mengin na waowanaheshim mahusiano yng kuna mmoja mwez wa 11 anaolewa hyu akiolewa tu nampotezea mazima naogop karma ya kula wake za watu [emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukwel me cn ma ex wengi ktk mahusiano yng ni kama 4 tu na wate wanasiliana nao daily so najua fika hakuna ata 1 alieolewa. Uyo ambae anaolewa mwez 11 ata kweny haruc yng alikuja 😂 kiukwel huyo dem ananikubali kinomaaa na me namkubali ile mbay ni ile bc t ndoa hupamgwaa mbingun 😂😂Hahah!! Nimecheka sana kaka. Katika ma X ulokula hakuna ambaye ulikula bila kujua, ukakuta ni mke wa mtu?
Doooh!!! Mkuu... mbona kuachana kwenu kunaweza kuwa kugumu sana. Me nadhani labda Ilibidi hadi sahizi uwe ushambwaga ili akiolewa usimkule.Kiukwel me cn ma ex wengi ktk mahusiano yng ni kama 4 tu na wate wanasiliana nao daily so najua fika hakuna ata 1 alieolewa
Uyo ambae anaolewa mwez 11 ata kweny haruc yng alikuja [emoji23] kiukwel huyo dem ananikubali kinomaaa na me namkubali ile mbay ni ile bc t ndoa hupamgwaa mbingun [emoji23][emoji23]
Nakubari kabisa mkuu!!!... huyu mdudu ni hatari sana. Twajitahidi kujikinga mkuu.Tumia kinga mkuu mdudu yupo