Nimeamini mjini akili tu

Hu jf sijawahi kuona uzi kuongelea vitu ambavyo havijanyooka(hapa nieleweke vizuri)
Sio kuwa wa aofanya hawapo,ila wengi hawajielewi.

Michongo iko mingi sana mjini hapa.
Na kwasababu hawajielewi watabaki hivyo hivyo
 
Siku ukitiwa pingu usije hapa kulialia hkn short in live fanya kaz vizee zizikudanganye na glass za wine utakuja kutupa mrejesho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Siku ukitiwa pingu usije hapa kulialia hkn short in live fanya kaz vizee zizikudanganye na glass za wine utakuja kutupa mrejesho

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We dr sio kila siku uje ki negative..
Serikali ya samia inanitambua...
Tatizo dr wewe ni dr wa mitishamba huwezi kuelewa. Ila wapo wachache wameelewa.
Alaf sijaambia mtu afanye... was just sharing my experience.
Huyu dingi heshima ninayompatia sio ya nchi hii. Mtu ananipatia madini naanzaje sasa kuweka issue ambazo ni informal?
 
😅😅😅unajikuta mjanja sanaee?
 
Kaka Kuna wazo tunaeza share coz nimeona una kituu keisangora, CONTROLA na Mshana Jr mjee hapaa
 
Nipo hapa napambana kulima alizeti na mpunga, ili niwaletee mafuta na mchele huko mjini
 
Hapa hamna mtu mkuu mi nilishaona tangu nasoma alichoandika hamna akili paleo
 
Eeeh tena
 
Wataka sema mpare anataka kutapeli watu?
 
[emoji817] uko sahihi, naongea kwa ushahidi sababu na mimi nimenufaika sana na bado naendelea kwenye fursa ulizoorodhesha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…