Nimeamini lowassa ni taasisi, chadema imemezwa rasmi na team lowassa.

jogoo_dume

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
2,204
1,939
Habari zenu!
Ninashangazwa sana na mwemendo wa CHADEMA ya sasa, viongozi waandamizi karibu wote hawasikiki kabisa, media coverage haipo ILA ni Lowassa tu, kuna watu wa Lowassa wamefikia pia kusema HATA MBOWE, MNYIKA na MZEE MTEI wakiondoka leo, LOWASSA LAZIMA AWE RAIS, hawa sio wana chadema ila ni teamLowassa. Hata ndugu Yericko Nyerere nae kafunikwa na hawa jamaa kama kina Ocampo four na team yake. Nafahamu kuwa Yericko Nyerere ni mwanamapinduzi na mwanaharakati, yaani ni Chadema asilia ila njaa tu imemponza kwa sasa mpaka anakula matapishi yake. Nina uhakika sasa hivi kokote Mbowe aliko, atakuwa anakaa chini na kufikiri jinsi gani alivyobugi hapa, ni kama ule msemo wa kizungu unaosema, YOU BITE MORE THAN YOU CAN CHEW, naona Mbowe na Chadema have bitten more than they can chew, and now they are getting choked!
Mimi ni chadema asilia na nimehamishia majeshi yangu kwa MAGUFULI kwa sasa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom