Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye


Kabla ya kulala ulitumia kinywaji au chakula gani? Maana bangi na viroba zina mambo!
 
Ulikuwa unaota magoli ya ngasa na kiiza yalivyokuwa yakishangiliwa na mashabiki wa yanga maana nao wanavaa njano na kijani.
 
Kamanda asiyekaa ofisini
Kamanda mwajibikaji
Kamanda mpiganaji
Kamanda wa maamuzi
Kamanda wa shule za kata
Kamanda wa mradi wa maji ziwa victoria
Kamanda hajawahi kutuambia liwalo na liwe au tumechoka wapigwe tu
Ndo umemwota heri umwotae rais 2015

Una akili sana mkuu
Huyo ndiye yeye ajae wala msingoje mwingine
Huyo ndo lowassa a.k.a chaguo la watanzania
 
Nawashukuru wote mnaoendelea kuchangia kwa lugha zenye maadili,hata wale mlionitukana asanteni,tuko pamoja.
 
Teh teh labda Mwigulu Munchemba...ccm haina rais alobaki tena nna allergy na politic ya TZ toka afe mwl. Nyerere walobaki ni wazinzi tu!!

Samahani lakini!
 

ameee,LOWASA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 2015,
 

mkuu inabd tu niungane naww kwenye kambi ya lowassa,manake ukiandka habar mbaya ya mh lowasaa unakula ban ya laana,hv navyo andka nimetoka kifungoni,kumbe hata admin anajuw lowasaa ndo rais ajaye,
 
usijali ndugu yangu ila nitendee haki japo kidogo,nishakuwa baba mji tangu 2008.
Mkuu wewe jiamini na ndoto yako yaweza kuwa kweli wanaotoa matusi ni bavicha tena tulishawazoea humu wala usiwaze tukiufikia mto tutavuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…