Nimeamini kweli pesa ndo kila kitu

Pesa natafuta na sitafuti kwa ajili ya kumzuiya mwanamke asinikimbie natafuta kwa manufaa ya matunda niliyoyavuna kutoka kwake{watoto}.ukisema utafute pesa kumfurahisha mwanamke utajikuta unahangaika bila faida yoyote.
 
Yahani leho ndiho hunahamini!!! mhupe pole huyo jamaha yako
 
mwambie jamaa yako hapambane na hali yake. Uwezo wake wa debe moja kaenda kuchukua mwanamke wa shamba zima. tena ashukuru Mungu katoa mkosi kutembea na demu mkali. shombe shombe wa watu kwenda kumuuzisha mkaa.
 
Huyo shombeshombe hakua na mapenzi ya dhati kwa huyo jamaa yako,na hata huko kwa huyo pedeshee amefuata mali tu na si mapenzi yakweli,

kwa hiyo kama akitokea tajiri wa kumzidi huyo pedeshee huyo mwanamke shombe shombe pia atamkimbia huyo pedeshee aliyenae sasa?

Tamaa ya nali hua haina limit,mwambie huyo jamaa yako awe huru kwani huyo shombe hakuna na mapenz ya kweli kwake,atafute mwingine na maisha yaendelee tu.
 
mwambie jamaa yako hapambane na hali yake. Uwezo wake wa debe moja kaenda kuchukua mwanamke wa shamba zima. tena ashukuru Mungu katoa mkosi kutembea na demu mkali. Shombe shombe wa watu kwenda kumuuzisha mkaa.
Hapo kwenye red,kwahiyo mwanamke wa aina ipi ndio anafaa kuuzishwa mkaa?
 
Yaleyale aliyosema father church kwamba nowadays binadamu tuna worship pesa na sio mungu wa kwel
 
Pumbavu zake, yeye hana pesa kwanini aoe mtoto mkare? mtoto wa watu shombe shombe na nyuma sio mchezo kisha ukamweke achezee mkaa? mwambie aende kijijini kwao akatafute demu wa saizi yake asije jifia bure. Vizuri huliwa na wenye pesa.
 

Trust me, wanawake wa hivyo mara nyingi mwisho wao huwa sio mzuri, mwanzoni atafaidi kidogo ila mbeleni atajuta, am talkin from experience, wengi wanaishiaga kuambukizwa ukimwi, kutolewa kafara, kuombwa kinyume na maumbile bila ridhaa yao, kupewa maneno ya gubu yanayouma kisa pesa wanazopewa, kunyanganywa vitu na kuachwa (its worse kama alishajijengea status flan ya juu kifedha kwenye jamii) CUBICBOY
 
Beautiful woman is another man's plaything. Hata huyo mwenye pesa atato.mbewa na mwenye pesa zaidi yake.

Rules of the game
 
Pesa sio makaratasi kama watu wanavyosemaga,lakini pesa sio kila kitu
Ukimuongelea mungu ndio kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…