Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Well said mkuu!!Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Itaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.Katika michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika,Tanzania inawakilishwa na klabu ya Simba. Jana,Simba wamehitimisha michezo yako mitatu ya ugenini/nje ya Tanzania/kimataifa.
Katika michezo yote mitatu kule DR Congo,Misri na Algeria, Simba imepokea kichapo. Imekandikwa jumla ya mabao 12. Simba haijapata hata goli moja kwenye michezo yote ya ugenini.
Kwa kuthibitisha kuwa Simba ni wa ndani ya Tanzania,imeshinda michezo yake miwili Uwanja wa Taifa Dar es Salaam na imebakiza mchezo mmoja na AS Vita ya Congo tarehe 16/3/2019.
Kwa kukosa ushindi,sare au hata goli kwa mechi tatu nje ya Tanzania,nimeamini kuwa Simba si wa kimataifa. Yanga wanastahili kuitwa hivyo! Kufungwa kila mechi ya ugenini kutaipa vipi Simba nafasi ya kusonga mbele?
Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugeniniItaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana Uzalendo Simba Inawakilisha Tanzania
Siwezi kuona soni maana sisi simba hatujapoteza nyumbani kama ambavyo Al hly hajapoteza nyumbani.Saoura kasare ugenini na nyumbani huku game ya fainali anamalizia ugenini ambako hawezi kupona na sisi pia tunamalizia nyumbani na vital kwa mchina ambako hata wababe al hly wameacha pointi yeye ataponea wapi.Kila mtu ashibe nyumbani ugenini ni njaa tu.Nilitarajia ungeona soni kwa hizo sare za wengine ulizotaja wakiwa ugenini
Sawa mtaniSiwezi kuona soni maana sisi simba hatujapoteza nyumbani kama ambavyo Al hly hajapoteza nyumbani.Saoura kasare ugenini na nyumbani huku game ya fainali anamalizia ugenini ambako hawezi kupona na sisi pia tunamalizia nyumbani na vital kwa mchina ambako hata wababe al hly wameacha pointi yeye ataponea wapi.Kila mtu ashibe nyumbani ugenini ni njaa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kukariri tena ogopa hizo mechi za mwisho aiseeItaje timu iliyobeba point tatu ugenini ktk kundi D.
Sauora kasare home and away kashinda 2 home=8
Al hly kasare away 1 kashinda2 hone =7
Vital kashinda home 2 kasare 1 home =7
Simba kashinda 2 home kapoteza away zote =6
Timu zote zinazomalizia nyumbani ndo zina advantage ya kusonga mbele and not otherwise.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipigwa 9 kwa 3 na raja Casablanca 1998 ingia mtandaoni lakn tuko kimya.