Nimeamini hanipendi huyu msichana

Hii hali ya changamoto ndo ya kumpima hata mwenza wa maisha

Lakini tofauti na hivo ni dalili tosha mtu kama huyu anauwezo wa kukusariti ukoswapo pesa mkiwa ndoani

[emoji174][emoji174][emoji174][emoji51]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akitaka hela mwambie aifate gettho, akija unamaliza mchezo, akigoma kuja PIGA CHINI.
 
First of all Huyo hakupendi Kwa Dhati...Na hapo n lazima anakutaftia sababu akuache... Jifunze kusoma Alama Za nyakati... Hapo hutakiwi mkuu... Kwa miaka ya Sasa asikudanganye Mtu Hakuna mapenzi bila sex... Anaweza akawa anakukazia wewe ila yupo anaetunukiwa kilaini... [emoji1690][emoji1690] Jifunze kusoma Alama Za nyakati... Usilazmishe maji Kupanda mlima... N wazi kua hutakiwi hapo Mkuu ...utakuja kunishkuru

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mahusiano bila sex yafaa nini?
Ni sawa na divai bila kuchachushwa.
Dada naomba niwe mchepuko wako tafadhari.nitakununulia kitu ukipendacho,kitu kitamu kuliko kitu chochote duniani,kitu hicho ni vile vibajia vinavyouzwa pamoja na supu ya pweza.nikubalie tafadhari,ili nikufuahishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…