Kazi tunazidiana mkuu, wewe unaongoza sh 10000 kwa siku, lakn kuna mwingine sh 4000 baada ya siku mbiliNdio maana ndala za buku jero tu zimemshinda ila hela ya kununua bando aingie jf kapata,huenda ni mbinafsi aka mchoyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichague lipiUkimpa makavu ataona aliyokufanyia yamekutach sana, ukimpotezea kimyakimya atajua aliyofanya, wala hayajakugusa. Atajiona fala sana kwa kukufanyia vitimbi, na wewe ukawa huna muda naye
Umesomeka mkuu,
Tatizo ukikosa yeye anakasirikaNakushauri utafute hela kwanza, maana Kama umekosa pesa ya ndala tu, kuna shida hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Anakuacha hivyo !!
[emoji23][emoji23][emoji23] umeweza kunichekesha mkuu dahAnakuacha hivyo !!
😂😂 Ndo ukweli huo
Halafu nimeamini siku hizi bila pesa,,[emoji23][emoji23] Ndo ukweli huo
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hongereni..siku hizi haonekani akiwaambia watu humu JF"Subiri upewe mwongozo"
Vipi nimwambie tu ukweli kuwa,hakupendi uyo. wewe kwake km ni sehemu ya ku solve shida zake. ila yup jamaa anae mpenda jua ilo
Leo naenda kwa mara ya mwisho wakuu, nimemuvumilia kumbe yeye anichukulia kama Boyaumesha liwa! tena unaliwa vibaya!
Mkuu unapoint mrua sana, unapaswa kuwashauri wanawake wenye tamaaPesa ni sabuni ya roho asikwambie mtu
Sio wote wako money oriented ubaya ni kwamba tamaa ya kuishi maisha flani hivi ndo inatucost sana na kuanza kutamani kuisha Kama mtu fulani anavyoishi ..
Sent using Jamii Forums mobile app