Hilo nishaanza kuligundua mapema ananitumia kama ATM card baadae pesa zikiisha anatupa card,Wewe ni atm yake ya benki.
Unashindwaje kujua kuwa hupendwi hapo?
Anyway utakuwa bado umri wa kujua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee! Umenikumbusha kitu mkuu, kuna siku tumekaa tunapiga story akanambia eti amesha nisoma kuwa mimi ni mkali maana akiniomba kitu eti huwa nakasirika na sipendi aniombe kitu.Mahusiano bila sex yanatoka wapi siku hiz?
Huyo dada kakuchomesha mahindi sana hlf ni mwaka mzima yan siku 365 kaninginiza ahadi tu bila kuishusha!
Kwa jinsi ulivyoelezea, huyo dada ana agenda ya kukufanya uwe mtaji wake wa maisha na kafanikiwa kwa mwaka mmoja...Wewe bado unangangania tu!
Akili yake inasema 'nina bwege langu lipo mahali, ni kulikamua tu na kujipimia nitakavyo'
Naunga mkono hoja hapaSasa mahusiano bila sex yafaa nini?
Ni sawa na divai bila kuchachushwa.
Hakuna shida mkuu nikweli,, Hapa ni kupambana kutafuta [emoji389]Sasa mkuu hata hela ya ndala unakosa,,[emoji4],, unaweza kumiliki demu mkali kweli,,, je akisema naomba elfu 30 ya kusuka si utaleta Uzi Tena Hapa,,, tafuta pesa demu atakuja Mwenyew,,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndizo comments za busara zinazo takiwa humu wallahUzuri wa mapenzi mkikitongozana siku hyo hyo mkatombane siku hyo hyo ili mjue kama muendelee au muishie hapo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubeti ni kama mbadala tu sio kwamba ndo kazi yangu mkuuMikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi) 2+ (katika mechi yote...www.jamiiforums.com
Hela anatokea kwenye betting na hali, kwa hali hii ni sahihi huyo demu kumzingua!
Wala hana bikira huyu,Duuuhh... Mwaka mzima unasubiri? Ana bikira?
Ushauri konk na ntautumia kama ilivyo hapaUnaliwa hadi chenchi hapo, shtuka na uchape lapa. Huyo hana nia na wewe na ameshajua umrkufa na kuoza kwake. Anatumia huo udhaifu wako, kama silaha na kama ukiendelea naye nakwambia utakuja kulazwa kwa presha kushuka.
Fanya hivi, mpotezee kimyakimya bila kumwambia lolote lile. Yaani usimtafute, wala kushughulika naye. Ukiona hajarudi, basi elewa nilichokwambia ni sahihi. Na kama akijileta jifanye si wa kumpapatikia kama mwanzo, jifanye upo busy sana na mishe zako na una muda mdogo.
Karudi ukaonesha una muda naye, atajua zoba lake bado lipo upande wake. Yaani hivyohivyo kaza kama kweli alikufanyia vile kisa upendo atajileta mwenyewe na akija piga na ukiona hakuna kizuizi jua ana mtu mwingine na wewe ulikuwa wa dharura tu
Kweli kabisa mkuu, sasa vipi hivyo vi chenchi vyangu alivyo tumia bila mimi kufaidi itakuwaje ?kuna boya huko anabembelezwa amkaze,!. wake up son! kusanya virago vyako pita kushoto. ukimuona, kua kama hujamuona, ukikutana nae mpite pakavu akikuuliza mwambie ukweli kua "sikuwezi kua na ww tena maana the only thing you have to offer is sex and apparently hutoi. mahusiano hayo ya nn sasa!? au yanahusiana na nn mkuu!? . msipotezeane muda kuna pisi kali tu kitaa na umri upo advantageous kwako!.
Mkuu nimekusoma...1. Huna ushawishi kabisa. Yaani una pesa lakini hauna mbinu za kumnasa.
Hujabobea kwenye fani.
Hufai kuwa hata Monitor wa darasa la mabaharia Chipukizi.
2. Hapo kamrembo kanakudanganya tu, kwa Tz ya sasa hakuna demu anayekosa na kushindwa kutoka kwao.
So, yawezekana unanyimwa wewe napewa mimi.
Ushauri wangu.
(a) Muache tafuta mwingine ili usijutie.
(b) Endelea naye ili baadae ujutie vizuri liwe somo kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah wakuu mnazidi kunishika penyewe, na nikimuona lazima maswali ayakimbie,Anakutumia wewe kwa matatizo yake halafu mashine anapingwa na mtu mwingine huo ni umbumbumbu Kiongozi mpotezee huyo anakula vyako tu yeye vyake hataki viliwe hahahahahahahahah.
Sasa mahusiano bila sex yafaa nini?
Ni sawa na divai bila kuchachushwa.