Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,009
- 74,643
- Thread starter
- #21
No, serikali ndio ilijua kwa support ya Chadema watu wataleta vurugu hivyo watapata cha kufanya.mmethibitiwa, mlijua watu watawasupport ila imekula kwenu;
MBOWE: Tumeshajipa kibali cha kutangulia mbele za haki
Unajua mtu aliye mjinga akikutana na mwerevu anapenda zaidi uzuke ugomvi ili kuficha ujinga wake kwa kukwepa mjadala