Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

Nimeamini CHADEMA ni chama cha kiungwana

Mbona Sioi na Kitilya wapo mahabusu kwa miaka miwili sasa, Mbowe hata wiki hajafikisha chama kizima mnalia lia!
Sioi na Kitilya no viongozi wa Chadema mpaka tuwazungumzie? Unatumia akili ipi kutoa hoja hiyo?
 
Ninachomaanisha mwanasiasa hapaswi kuiogopa lupango!
Ndio maana nakuambia Mara kwa Mara unapoandika tumia akili sio moyo unavyo kutuma.
Umeona kiongozi gani anapelekwa lupango anatoka machozi kama sio kuonyesha alama ya victory? Tulio nje ndio tunapiga kelele kwa uonevu was serikali ya Magufuli na ni haki ya raia kupinga uonevu wowote
 
Back
Top Bottom