Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,949
- 74,431
Matukio kadhaa yaliyojitokeza siku za karibuni kwa Chadema, ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ilikuwa na nia ya kuwachokoza wafuasi wa Chadema wa berserk kisha ipate cha kufanya au kusema.
Kitendo cha kuzuia hata Landrover kuwapeleka viongozi mahakamani kupewa dhamana ili walale rumande ni dalili mbaya lakini Chadema wakatulia bila fujo na kwenda EU kuwaeleza kinachoendelea.
Malengo yao maovu ya kuichokoza ili kuwatia hasira Chadema yakashindwa, lakini salamu alizopata Rais Magufuli katika ibada ya Pasaka St Joseph ajitafakari.
Kitendo cha kususiwa ibada anayohudhuria yeye tena kwa taarifa na kupewa Paroko msaidizi pia ile hali ya yeye kutoa salamu na watu kununa bila kumshangilia kama ilivyo kawaida ajue ndio majibu ya waungwana.
Kuna siku uungwana utalipa!