SUNGURA-MJANJA
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 200
- 33
kwa sasa ccm wanajivunia majeshi kwa upande wa watu wa kawaida hawana labda wananchi ambao bado wako katika yale maeneo yasiyokuwa na maendeleo kama Chalinze, Lakini maeneo yote ya mijini na yenye maendeleo ccm ni adui mkubwaHuu ni utafiti wangu sijui wewe..Nilivaa t-shirt ya ccm na kofia nikawa napita mitaani, nilichokumbana nacho ni zomea zomea wengine wananiangalia kwa macho makali sana na nilitwa majina mengi sitaki niyaseme.niliongea na baadhi ya watu wakasema wameichoka ccm kwa kushindwa kuleta maendeleo miaka 50 ya uhuru, ukiwahoji jiandae kukumbana na vikwazo kibao. kwa sasa T-shirt,Kanga,Kofia,Vitambaa sio issue tena kwa baadhi ya wananchi.
achakutudanganya na pic mkutanon wanaenda wengi na wote si wanachama wa ccm wanachama ni hao hp wamevaa kijan tu mbele hp, jamaa alichoonge ni kwl kbs kama huamin vaa ngou za ccm,
tena usiombe uje arusha halafu ukavaa nguo za magamba utapata shida mno!!
mimi niko arusha mkuu sijui hata unaongea nini, labda wewe ndio hauko arusha, wewe ni muuza mziwa aka wakata migomba ndio wabishi,
Arusha ccm hamna mm nikosakina njoo hapa krb na 7up ww uko arusha gn? Kama unapic za mkutano wa ccm arusha heburu rusha, na wakat unakuja njoo ukiwa umevaa ngou za ccm kama hujalawi.......ti.......wa
kwa sasa ccm wanajivunia majeshi kwa upande wa watu wa kawaida hawana labda wananchi ambao bado wako katika yale maeneo yasiyokuwa na maendeleo kama Chalinze, Lakini maeneo yote ya mijini na yenye maendeleo ccm ni adui mkubwa
HUO UTAFITI WAKO NI WA HUKO KWENU ULIPO WEWE NDO 65% HAWAIPENDI
-NENDA KYELA CCM INAPENDWA WATU ZAIDI YA -80%
-KINONDONI 85%
-DODOMA 98%
-TANGA 78%
-RUKWA 76%
-KAGERA 69%
n.k
kwaiyo icho ki 65% cha mtaani kwenu bado hakina tija kwenye mapinduzi ya kweli ya kuiondoa CCM. Afu istoshe katika iyo asilimia 65% wenye kadi ya kupigia kura/watakao kua na kadi ya mpiga kura ni kama 0.07% tu
wengine wote maneno ya SOKONI MWENYE KELELE NYINGI NDO MSHINDI.
Bora uvae jezi ya MAN United, kuliko T-Shirt na kofia ya CCM ni mzigo.Huu ni utafiti wangu sijui wewe..Nilivaa t-shirt ya ccm na kofia nikawa napita mitaani, nilichokumbana nacho ni zomea zomea wengine wananiangalia kwa macho makali sana na nilitwa majina mengi sitaki niyaseme.niliongea na baadhi ya watu wakasema wameichoka ccm kwa kushindwa kuleta maendeleo miaka 50 ya uhuru, ukiwahoji jiandae kukumbana na vikwazo kibao. kwa sasa T-shirt,Kanga,Kofia,Vitambaa sio issue tena kwa baadhi ya wananchi.
Bora uvae jezi ya MAN United, kuliko T-Shirt na kofia ya CCM ni mzigo.
Sijawahi kukutana na kijana kavaa nguo za CCM.
Mkuu weka % za Arusha,Mwanza, Mbeya na Musoma