Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,886
I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
natamani iwe hvyo ndomaana nipo hapa kupoteza mawazoFurahia
Nauliza wanaojali..rubbishUnamuuliza nani sasa?rubbish
natamani iwe hvyo ndomaana nipo hapa kupoteza mawazo
Utakuja kufurahia.. Mola kakuondolea huyo ili upate bora kwako.
Utakuja kufurahia.. Mola kakuondolea huyo ili upate bora kwako.
ameen..thanks alot kesho naanza maisha mapya. Bila yeyeUtakuja kufurahia.. Mola kakuondolea huyo ili upate bora kwako.
kua Loyal Si ujinga,but kutokua muaminifu ndio ujingaUlikuwa nae Mmoja kwani ni Mama ako huyoo?????semaa polee mzee usirudi Ujinga wa kutaka kuwa Loyal
Find another one mkuu...I'm sad, depressed, and it's eating me up. My girlfriend left me. What should I do?
Piga moyo konde Broo mbona hivi soon utajisikia Amani ya kufa mtu mpaka utaona alichelewa kufanya ivoameen..thanks alot kesho naanza maisha mapya. Bila yeye
kakupunguzia utamuAkunyimae kunde? ..................
haha ushauri Wako WA dhaabu..nahisi namsahauPiga moyo konde Broo mbona hivi soon utajisikia Amani ya kufa mtu mpaka utaona alichelewa kufanya ivo
Yes fanya ivo Bob mwenzio hapa saivi Nina miezi 5 naishi kwa Amani tele baada ya kushuka kwene defender lililokuwa linaelekea police asa sijui lingefika ingekuwaje huko virungu joint zote hahahahahaha ushauri Wako WA dhaabu..nahisi namsahau
hahaha kua kwenye relation ambayo haieleweki,mateso yake Ni zaidi ya hvyo virunguYes fanya ivo Bob mwenzio hapa saivi Nina miezi 5 naishi kwa Amani tele baada ya kushuka kwene defender lililokuwa linaelekea police asa sijui lingefika ingekuwaje huko virungu joint zote hahahaha
kua Loyal Si ujinga,but kutokua muaminifu ndio ujinga




semaa ukikua utaacha bado una akili za la sabaa B...!! Ndo maana hata umeachwaa mzee