Nimeachwa tena, sijui tatizo langu ni nini?

Naongelea kuvurugwa emotions.

huyu i bet anakutana na wanaume ambao sio wahuni sana lakn wakikutana nae huko 6*6 wanaona hali tofaut na walivomwona kwa nje!

wanaume 6 wengi sana kwa umri wake huu, sehem za mwanamke zinaathiriwa na dyudyu za aina tofaut zikipita....

or else ana tatzo ambalo hawez kuliondoa yeye ndo mana hao jamaa huwa hawasemi kwa kumuonea huruma so they leave her!!!
 
Mamaaaa,
Kwanza pole. Nimesoma kila kitu ulichoandika na majinu yako nimegundua kitu moja
na nitajaribu kukupa muelekeo
1. Yule uliyemwacha kwnini ulimwacha? mtafute muombe msamaha kama ulimuuumza au kaama yeye alikuuumiza muuulie kwanini alifnya hivyo. Na ujishushe wakati unauliza usiwe na attitude hata chembe.
Mungu anafanya kazi kwa njia moja, ukimuumiza mtu na wewe utaumizwa mara 10 zaidi mpaka yule mwenye kinyongo akusamehe. so waulize hao watano pia na inaonekana hawakwmbiii kwasabu na attitude mwanaume yeyote hakwambiii chochote ukimuuuliza kwa jazba. jishushe ..kuwa mpole omba msamaha. watakuambia.
2. Wasamehe wote waliokuumiza yai usikumbuke kabisa kwasababu usipowasemehe hauwezi kuanza uhusiano mwingine mpya na mwanaume mwingine, lazma utamuumiza tu hata bila kujua kwasababu utakuwa ina vihasira hasira bado moyoni
3. Sali. tena sali sana. usione watu wanaenda kuroga na wengine wanashinda makanisani..Nguvu ya mapenzi ya wawili hailindwi na kiuno mama. Sali na umuombe Mungu ni mwanaume gani unamtaka. utapata katika imani. na ukipata. Sali sana.
4. Usirush kwenye mahusino. Date alot. Date alot of men during the dating time jis get to know the men if they dont pass this test then dont go forth to making you two a couple.
- Dont have sex. Make him wait atleast 2-3 months ambae hana nia na wewe ataondoka tu
-Get emotional yani siku moja mwe jimwage mueleze shida moja tu inayokutatiza lia kama ikiwezekana na uone atareact vipi (isiwe shida ya pesa) mwanaume mwenye nia njema atakusaidia wengine watakupa distance kwasababu anaona kama usumbufu
-mualike rafiki yoyote aoane nae mara moja tu kwa dakika chache mpe tujiswali tuwili twa kumuuliza halafu waache dakika 2mbili (make sure huyu rafiki hayupo singo ikiwezekana awe ameolewa) watu walio karibu yetu wana uwezo wa kuona intentions za mtu mwengine kwa ufanini kuliko sisi kwasababu sisi tuko focused na kutafuta mwenza
- Usimtafute. Let him all first let him text first. Ukiona wiki kadhaa zinapita anakutafuta anahangaika na wewe na hagive up . Huyo anaweza akawa ana nia njema. ukipiga kimy na yeye akapiga kimy huna chako hapo.

5. You might be quite intelligent. But men dont care. Hii ni fact wanawake wengi hawakubali. Let him take the lead. Akikosea usimkosoe mpe kama ushauri. Mwanaume kila siku tunataka kujiona yuko juu

6. Be fun and spontaneous. Usiwe too serious.
7. Jifunze lugha yake ya mapenzi (learn his language of love google 5 languages of love and next u have a bf mke sure u know his)
 
kukusaidia labda uruhusu in box kuna maswali ya Zaidi ya ndani ambayo si vyema kila mtu akayasoma
ruhusa pls
 
Mama,
Ongeza ujuzi kitandani, kama u mzuri wa sura halafu kitandani gogo utaishia kuachwa kila siku. Halafu pia punguza kujifanya mjuaji na muongeaji. Yangu ni hayo tu
 
punguza ukali jifunze kudeka .. punguza kufanya majukumu ambayo siyo yako jibebishe ila usizidi

Mkuu pole. Tafuta marafiki walioolewa angalia wanavyoishi. Mpe mwanaume nafasi ya kuonesha uanaume wake. Msikilize sana deka kidogo. Acha agharimie kwa uwezo wake. Ngono mapema noma. Kaa mkao wa mwolewaji ili usiwe jamvi la wageni. Apo status ya kijana unayempa fursamuhimu sana.eg elimu,umri akuzidi,dini n.k. Uzuri ni advantage wanaume wanataka mama kwao na familia zao onesha huruma na kujali wanaume unachagua mbona wengi. Maombi yanakusaidia kujua unataka nini! Usichangae pengine ujijui kaza ibada.
 
Enzi hizo nachangia sana jf kuna kitu nlikuambia kinahusiana na tabia zako nlivyozisoma kupitia maandish yako. sishangai kabisa kama kweli
 
badiebey said:
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena
Umenena kwa hisia sana!! Pole, utapata akupendaye kwa dhati. You're still young!
 
duh imenigusa napitia ktu km hiko maishan na kla naekutana nae ananambia wew n mwanamke wa kuoa yan nasifiwa mm lakn naachwa tena...
 
Enzi hizo nachangia sana jf kuna kitu nlikuambia kinahusiana na tabia zako nlivyozisoma kupitia maandish yako. sishangai kabisa kama kweli

Hebu mkumbushe please
na sisi wengine tujifunze.....
 
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi.

Tatizo lako hilo hapo juu,kuna njia nyingi za kuongea na mpz wako ila hio njia ya hasira matokeo yake hasara. Wanaume wana mengi kichwani kuliko Wanawake kupitia kwenye njia za maisha.Lakini wanawake wana mengi sana kichwani kupitia njia za mapenzi. Ukitaka kujua kama Wanaume wana mengi kwenye maisha angalia ushawahi kuona mwanamke mwenye kipara kati?? Pia wanaume huota mvi mapema kuliko wanawake, Nikirudi kwenye topic utakapopata mpz mwengine jitahidi sana kuongea nae lugha ya mapenzi sio ya hasira. Pia huyo mpz wako ulie achana nae kama utaweza ukipata nafasi ya utulivu mtumie sms ya kuapologize sio kama kujifanya ---- ila kusafisha moyo wako na wake juu ya wingu la hasira iliopelekea kuachana. Usitegemee kurejewa ila inaweza ikarejesha urafiki wenu na pengine akaja kuwa mshauri katika penzi lako lijalo. Alowahi kuwa na wewe ndio ajuwae kasoro zako. Nakutakia mafanikio mema
 
Pole sana...just muombe mungu,concetrate kwenye kazi..ipo siku mtu wa ukweli atakuja tu....
 
Hi All,

Jamani honestly nina stress acha tu.

Nataka nitumie jioni hii online walau nipunguze mawazo mana hata ubusy wa kazi haupunguzi maumivu ya mapenzi.

Story ni nimeachwa tena, yes, ni jambo limejirudia sanaa maishani mwangu kiasi kwamba nishasali sana na ninaendelea kuomba Mungu anisaidie.

Hii ni mara ya 5 naachwa, kama kuacha mtu nimeacha only mara 1.

Am the type of woman ninayeitwa mzuri na wengi, charming, intelligent nk.

Sawa kama binadamu nina kasoro lakini naamini zinaweza vumilika, sioni kama nina anything extreme.
Umri mid 20's,elimu chuo
Kinachoniliza jmn ,nilikua na uhusiano mzuri sana kama mwaka hivi na mwanaume nnaeshindwa msahau mpaka sasa,kama baada ya miezi 6 alipunguza sana mawasiliano,nikavumilia badae nkaona nimuite tuongee anambie tatzo ni nini,
Kweli tuliongea na alisema wazi hana tatzo na mimi,yuko tu off mood so anataka tu muda ajitafakari,mhhh inaumiza lakin nilipata relief kdogo nkamwambia sawa d,ntakuwepo kwa ajili yako,yeye tangu siku hyo yuko kimyaa,hajibu msg hapokei simu nk,jibu la ukimya linaumiza jmn acha tu,
Imepita miez 4 sasa hanitafuti wala nini,mara 2 nilipata hasira sana nkamjibu vibaya nilimwambia ukimya huu ni ujinga hatuwezi endesha mahusiano hivi,
Siku hio akasema mi na yeye basi tuwe marafiki,nikishaumia sana iliniumiza zaidi lakini nkasema yatosha God knows i tried ,na mi sijamtafta zaidi ya mwezi sasa najiuguza,
Ishu ni hii trend ya kuachwa,mpaka lini,tatzo ni nini,nimechoka hii hali,
Sijawah achana na mtu kwa ugomvi mkubwa,niliemuacha once several tyms nilishamuomba msamaha if ts karma i paid the price niliachwa na wawili baada yake,wanaoniacha wanasemaga tu ur so beautiful and still young bla bla,ts not u ts me,wengine distance inavunja mahusiano bila sababu, nk...
I don't get it,tatzo langu nini hasa
Nimepoteza apetite ya mapenzi kabisa,mana naachwa najipa moyo namove on naachwa tena khahh,
Ukiniambia kupenda saivi ni jambo impossible kwangu
MY BEHAVIOUR KWNY MAHUSIANO
Jmn sijisifu but ni mtu ninaependa mwanaume mmoja in a time,sio ombaomba japo naweza omba hela nikiwa na shida like 3,4 times a year,(sijui ni mara chache au nyingi),najali,nacare,napika,nampa mapenzi ,namuuguza akiugua,namsikiliza,namheshimu,mambo ya massage na madeko yote nnayojua,siko desperate,sijawah zungumzia ndoa japo i may give some hints,inshort am a total woman n i let him be the man,
Hakuna alowahi ntajia any shortcoming nirekebishe mana huwa nauliza jmn nmekukosea nini japo niweke sawa ,wanasema hamna,pls assist nina maumivu makali kila nikiwaza nimeachika tena

You were lost in da dark jungle, once you meet Dr mwangaza utaona utamu, thaman na raha y kweli ya malove u will den promise not to leave. Embu fanza kunipm nikushow true love because natafuta manzi wa tulia nae tuli mammy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom