Nimeachwa njia panda

Nimeachwa njia panda

Hyuo yawezekana aliiporomosha muda mrefu sana...

Cha muhimu ni kuomba vyeti vya hospitali(clinic) alipokua anakwenda
Ntalifanyia kazi hilo ni ushauri mzuri sana ndugu yangu. Aksante sana
 
Ndugu tuliza mawazo naana unaeza kua na maswali mengi kuliko majibu,kwakua una karibia kuja ni dhahiri utapata uhakika wa maswal yako yote. Tena si ajabu ukakuta tofauti na uwazavyo. Ondoa wasiwasi kwanza usijepata presure yakujitafutia bure
 
............................ Haikua lazima sana na nilimwambia asipokua na mimba tutajaribu tena nikija na ilikua nije moja kwa moja kuishi baada ya miaka 10 away from home[/QUOTE] Kwahiyo lengo lilikuwa ni kumpa mimba kwanza ndio maisha yaendelee. Hilo ndilo kosa kubwa. Yeye (mchumba wako) akaona ni bora akudanganye kuwa anayo mimba ili mambo yaende fasta lakini ikawa tofauti. Miezi sita ilipopita akaona itakuwa noma ndio maana akakuambia imetoka. Ushauri, acha kuwajaza dada zetu mimba ndio uwaoe. Kigezo cha kuoa kisiwe ujauzito, iwe ni mapenzi kwake na kwako. I think she is still love you, tatizo ninaloliona ni kwakuwa hamjaoana na hamgegedani (hamzini) kwa mipango ya kupata mtoto bali kwa lengo la kufurahisha nafsi zenu mkifikiri ndio njia ya kupata mtoto, kupata ujauzito is a planned, destined and determined thing. Go back to her, marry her first and then mtoto atapatikana mbele ya safari. Ukilazimisha atakubebea mimba isiyo yako na utakubali, ilimradi tu atimize lengo la kuolewa na wewe, period!
 
niko nje ya nchi mura kiwekeo bado ninacho lakini kilikua special kwa ajili yake ndiye alikua chaguo langu sioni kwa nini niangaike na wanawake wengi. Nimelelewa kwenye familia ya baba na mama mmoja na wazazi wangu walikua kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya hamsin. Nilipenda na napenda kuiga kutoka kwa wazazi wangu. Kama waliweza kwa nini mimi nishindwe. I just need a right woman na nilizani mchumba wangu anafaa

nimeupenda msimamo wako, maana dunia ya sasa ni wachache sana wanaojitambua na kushikilia msimamo walionao....!

Unaweza ukashawishika kumuacha mpenzi wako uliyevumiliana nae kwa miaka7 ukampata mwingine mwezi tu akakuvuruga, cha msingi kama yeye ataendelea kusimamia ukweli/uongo wake kuwa alikuwa na mimba ikatoka wewe chukulia hivyo hivyo alivyo kuambia ili mradi bado ana mapenzi na wewe....!

Halafu kaa ukijua wanawake tu wajanja sana tunaweza kutumia technic yoyote kwa mwanaume ili kutimiza hitaji letu.

So inawezekana na yeye alitumia hiyo technic ya mimba ili apate kile alichotaka, na niwanawake wengi wanapenda kutumia huu uongo akisha fanikiwa mwisho wa siku anakuambia mimba imetoka kumbe wala hakuwa na mimba wala nini.
 
Umeona eeh! Then analazimishia mimba kwanza then ndoa....

Ukuta haaaa ndo nini sasa mbona hata huyo dada yako mimi simjui. Hapa naongelea mchumba wangu nae mpenda sana tu. Hivi huoni kua miaka 7 inatosha kabisa kuanza familia nae au tatizo ni kuoa tu? Tulikubaliana kupata mtoto kama ingekua na nilikua najiandaa kuja kuharaliswa tu lakini tiari ni kama mke wangu tu hivyo sioni kosa kwao najulikana na kwetu wanamjua.
 
nimeupenda msimamo wako, maana dunia ya sasa ni wachache sana wanaojitambua na kushikilia msimamo walionao....!

Unaweza ukashawishika kumuacha mpenzi wako uliyevumiliana nae kwa miaka7 ukampata mwingine mwezi tu akakuvuruga, cha msingi kama yeye ataendelea kusimamia ukweli/uongo wake kuwa alikuwa na mimba ikatoka wewe chukulia hivyo hivyo alivyo kuambia ili mradi bado ana mapenzi na wewe....!

Halafu kaa ukijua wanawake tu wajanja sana tunaweza kutumia technic yoyote kwa mwanaume ili kutimiza hitaji letu.

So inawezekana na yeye alitumia hiyo technic ya mimba ili apate kile alichotaka, na niwanawake wengi wanapenda kutumia huu uongo akisha fanikiwa mwisho wa siku anakuambia mimba imetoka kumbe wala hakuwa na mimba wala nini.
Asante doctor.
Lakini ukisoma vizuri sioni kwanini atumie mimba kupata anachotaka. Kwa kipindi chote kabla ya mimba alikua anasimamia ujenzi wa nyumba yetu na hela nilikua namtumia kila mwezi.
Kama kuvalishana Pete nilimvalisha kabla ya kupata mimba mwaka jana. Kama ni ndoa ilikua ni mwakani miezi ya mwanzoni baada ya mimi kumaliza kazi zangu mwaka huu. Sasa nini alikua anataka? Ambacho hukupata kutoka kwangu? Ukweli nitamwomba tu anieleze ukweli. Sina nia ya kumwacha niliomba ushauri wapi pa kuanzia nikikutana nae nini cha kumwuliza
 
Yap, una point

Ndugu tuliza mawazo naana unaeza kua na maswali mengi kuliko majibu,kwakua una karibia kuja ni dhahiri utapata uhakika wa maswal yako yote. Tena si ajabu ukakuta tofauti na uwazavyo. Ondoa wasiwasi kwanza usijepata presure yakujitafutia bure
 
Ukipata mwanamke unayempenda jaribu kumwamini tu ndugu yangu. Ni kosa kama unajua tabia yake lakini kama hujui sio kosa hata kidogo. Hata hivyo nimekuelewa sana tu na shukurani sana
Ni misimamo tu. Siwashangai sana wanaomua kuweka imani zao kwa wanawake maana wamechagua kuwa hivyo. Lakini mimi nilishaamua kitambo kuwa siwezi kumuamini mwanamke mwingine asiyekuwa mama yangu perid.
 
Back
Top Bottom