Kwa sababu zile totozi zilizotulia tunachukua sisi pasua kichwa :A S tongue:hivi kwa nini wanaume wapole husband material huishia kukamatwa tundu bovu...?:A S-confused1:
Kwa sababu zile totozi zilizotulia tunachukua sisi pasua kichwa :A S tongue:hivi kwa nini wanaume wapole husband material huishia kukamatwa tundu bovu...?:A S-confused1:
Nisingeweza kumuona kwa kipindi hicho maana alikua bado anasoma na mimi ndo nilikua naanza mbio za kutafuta maisha. Na miaka saba ni tulianza kama marafiki tukawa wapenzi na mwaka jana tukawa wachumba rasmikweli kabisaa!mm nahisi kachoka kuwa mchumba!ngoja nikuulize.kilichokufanya usimuoe miaka yote hiyo ya uchumba ni nini?kwa mawazo ya kawaida na haraka labda anadhani humuamini bado!ss km alikuwa kweli na mimba akajua utafunga nae ndoa,akaOna hola!kwa vyovyote kakuhisi vibaya!
Sio wanawake wote wako hivyo. Kuna wanawake na wasichana wanajiheshimu sana. Baada ya kuwa nae kwa kipindi kirefu sio mimi tu hata ndugu na marafiki walikua wanasema nimshirikishe tu kwa kila kitu. I still doesn't know what happen to her.hahaha madhara ya kuwa niceguy utvurugwa mpaka ujezinduka umegeuka zombi nikushauri never kiss women ass....
Mkuu justin kwanza sio story ya kuondolea stress ni ukweli yaliyonikuta wala sikusikia kwa mtu ni mimi mwenyewe niliyepatwa na hili tatizo.Kilaa mwezi sio chini ya laki6*12:helaa iyoo mara miaka 7 embuu mpigieeni hesabu uyo jamaa na mshaara wako ni laki9 ukute nandoo unabakiwa na tatu heeh kelii apendachoo bint alaafu miaka yote iyoo mnaa ngojeea mpakaa maafuriko yaje tenaa amaa mmmh some time izi post tunasomaga tukatee stress tuu mmmh life ili alafu badoo mchumbaa anakufanya ivoo akijakuwa na wf tenaa sindoo yakina ufosaroo tenaa kilakitu kwajina lakee amaa kelii mapenzi upofuuu?
Ukipata mwanamke unayempenda jaribu kumwamini tu ndugu yangu. Ni kosa kama unajua tabia yake lakini kama hujui sio kosa hata kidogo. Hata hivyo nimekuelewa sana tu na shukurani sanaAisee, hongera sana kwa kupenda, Ila hapo ndio ulipofanya makosa. Mimi huwa nasema siwezi kumwamini mwanamke yeyote isipokuwa mama yangu tu.
Massa kama umefikia hapo, cha kufanya njoo nyumbani mara moja sort it out, ikijumuisha kutafuta ushahidi halisi wa hiyo mimba nk, then fanya uamuzi wa kuendela au kuachana naye kulingana na hali utakavoikuta. zingatia sana ushauri wa watu hapa maana naona dalili zote za kutupiwa mchanga wa macho kwa mujibu wa maelezo yako. usiangalie sana kigezo cha muda u may find the right one in no timeJestina ni mapenzi tu ndugu yangu nilimpenda sana na bado nampenda ingawa sitakuja kumwamini tena
Watu8
Aksante sana kwa ushauri ndugu yangu. Ni kweli kwa kipindi chote cha uhusiano wetu hakuwai kua na tabia ya kuomba hela kwa kisingizio chochote na alikua yuko karibu sana na familia yangu kiasi kwamba hela nyingi nilizokua namtumia kwa matumizi basi yeye alikua anatumia kuwapa watu wa nyumbani kwetu. Nilikua hadi namgombeza kuhusu hiyo tabia. Nilisha waambia nyumbani mwenye shida basi awasiliane na mimi na sijisifii sijawai kutokumsaidia ndugu pale napo weza
Suara la kutokutaka kuniumiza inawezekana ni kweli lakini sikuona sababu ya kwa nini asiniambie tu mapema ikizingatiwa na wachumba.
Nilipata kuongea na mama yake akanisibitishia kua alikua na mimba na kweli ilitoka. Kwa upande wa kwetu sina wazazi wote walishatangulia mbele ya haki hila ndugu zangu wote walikua wanajua anamimba. Kaka yangu mkubwa alimuona na akahisi kitu akamuuliza akakubali kua anamimba
Mambo mengine nazani itabidi nimuulize tu vizuri nikija huko lakini rohoni nina kinyongo na maswali mengi kuliko majibu.
hiyo namba moja kwa nini aitoe wakati tulikubaliana na ni official wachumba na mambo kibao nilikua nafanya kwa ajili yake na familia yetu. Sioni sababu ya maana hata kidogo.
2 kwanini asubili hadi baada ya miezi sita? Na je picha alizokua ananitumia nazo?
3 hiyo nawaza kama wewe swali kwake ni kwanini aseme anamimba wakati hana? Haikua lazima sana na nilimwambia asipokua na mimba tutajaribu tena nikija na ilikua nije moja kwa moja kuishi baada ya miaka 10 away from home
Mkuu justin kwanza sio story ya kuondolea stress ni ukweli yaliyonikuta wala sikusikia kwa mtu ni mimi mwenyewe niliyepatwa na hili tatizo.
2 suara la hela mshahara wangu uko juu kidogo ya la 9 na nilikua namtumia hizo hela kwa ajili ya maendeleo yetu na matumizi yake madogo madogo ilipokua inaitajika hela ndefu kama ya kujengea nilikua namtumia pia. Kwa asilimia nyingi alishakua kama mke wangu bado tu kuhararisha kwa ndoa sikua na haraka ya kuzaa kiivyo ila tuliongea na kukubaliana
Suara la kungojea ilikua ni kujipanga tu kimaisha na yeye amalize shule kwanza.
Kwa lolote litakalotokea nakuahaidi siwezi kua kama mushi. Nitatafuta hela na nitafanya mazuri na nitamwomba mungu nipate mke mwema
Habari zenu wakuu
Mwanzoni mwa mwaka huu niliomba ushauri kuhusu mchumba wangu kukataliwa kupewa huduma alipoenda klinik nilipata majibu mazuri sana kutoka kwa watu mbali mbali waliopata nafasi ya kujibu. Sasa kwa kipindi cha miezi kazaa nimekua mtu wa mawazo sana baada ya huyo mchumba wangu kunambia mimba ilitoka ikiwa na week 13 tatizo ni aliniambia tiari ikiwa ni miezi Sita toka aliponiambia anamimba. Kwa kipindi chote nilikua naongea nae kila siku kwa simu au Skype na alikua ananitumia picha kuona mabadiliko ya mwili kama tumbo na nilikua na uhakika wa yeye kua na mimba kwa kipindi chote hicho cha miezi sita. Siku aliponiambia hana mimba na ilitoka ikiwa na miezi mitatu kweli mungu ndiye anajua tu lakini niliuzunika kupita maelezo. Kwa sasa bado kichwani nina maswali ingawa nilishamuuliza zaidi ya mara 1000 kweli alikua na mimba au alikua ananiongopea na kama kweli ilitoka ikiwa miezi mitatu na week moja kwa nini alisubilia kipindi chote hicho bira kunambia? Kwao najulikana na kwetu wanamjua na suala la kuanza familia tulikubaliana wote. Week tatu zijazo nitakua tena likizo nyumbani huko na nashindwa nini cha kufanya kuhusu huyu mchumba wangu. Ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu naomba mnishauri nini nifanye japo kwa kuanzia nikikutana nae tena.
Angalizo kwa wote ni story ya kweli iliyonitokea mimi
Bra-Joe mimi sio pimbi ndugu yangu hivi unazani waliofunga ndoa hadi kua na familia hawana matatizo?wewe kweli pi*bi. Utamshirikishaje mwanamke ambaye hujafunga nae ndoa katika maswala makubwa kama hayo? Kwa taarifa yako, hizo fedha ulizokuwa ukimtumia kulea mimba na kufanya vimaendelo alikua anapaa nyoka na mtu aliyekuwa akimuhudumia yale mambo ya kwenye Bed wakati wewe eti "10 yrs away from home"