Duuuuu mwanamke anayependa kustruggle kwa njia halali nampenda sana, hiyo ni lulu ishikilie vizuri kuna mahali utakuwa unamkosea. Watu kama hao wanataka mwanamume mpambanaji sasa jichunguze kama uko lazy lazima akukimbie.
Hakuna mapenzi ya udogoni mlikuwa mnapita stage ya ukuwaji tu. kama wewe ni Me tafuta pesa tu ndio jambo la muhinu mengine yatajiseti yenyewe mbele kwa mbele.
pole sana but ni sehemu tu ya maisha ,umeandaliwa hivyo ili siku ukimpata mkweli iwe zawadi kuu toka kwa mungu mwamini mungu atakupitisha ktk hilo gumu na utashinda muombe mungu akuoneshe mtu sahihih
Kaniacha ananiambia anataka a struggle na life mwenyewe nimemwambia si tu struggle wote kakataa kaniacha , i still love Her , Bado nampenda sana na namwitaji kwenye maisha yangu.(tunaumbali ila hatujaonana karibia mwaka mmoja sasa yeye yupo shule)
pole sana but ni sehemu tu ya maisha ,umeandaliwa hivyo ili siku ukimpata mkweli iwe zawadi kuu toka kwa mungu mwamini mungu atakupitisha ktk hilo gumu na utashinda muombe mungu akuoneshe mtu sahihih