Nimeachwa na mpenzi wangu

Hongera sana mkuu.kuachwa na demu ni fursa.sijawahi umia hata mara moja nikiachwa.maana kila siku wanazaliwa wapya kabisa.sema kama wewe ni domo zege itakuwa maumivu makali hayo
sio domo zege sana najitahidi mkuu.....ila maumivu yapo.mkuu
 
Kama wapo mkuu mm nataka dem alie serious aje tu Pm tuyapange am single
 
Ukiachwa achika
 
Mimi pia nimeachwa Jana kwa sababu kama yako hiyo hiyo.. Muda huo uliopost uzi wako Mimi ndio nilikuwa naachwa
 
mie nilisafiri nikawa bize siku 2-3 msg ikafata mapz yameisha maana yaonekana nimepata mtu sikuwahi jibu ile msg kumbe huku nyuma kapata afande wake. kama miezi mi 4 hivi anaanza jirudi na kusema sijawah mpenda ni njaa ya k ndo ilifanya nimtafute nikigundua ni yeye na kujibu msg kunafata
 

Mwanaume huwa haachwi ila anaacha, au mnaachana. Kuachwa ni udhaifu
 
Kaelekea wapi sasa.

Ila na wewe kwanini utafute mbali wakati jirani wapo wengi.

BTW. Maumivu ya kuachwa huwa hauazoeleki usijifariji. Kwa kuwa umetambua WAHENGA walimaanisha kusema FIMBO YA MBALI HAIUI NYOKA. Jitahidi kukaa karibu na fimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…