Nimeachwa na mpenzi wangu jamani!

Raia mpya

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2022
Posts
937
Reaction score
2,593
Siku kama ya 5 hivi mpenzi wangu simuelewi mawasiliano hafifu ubize mwingi si kawaida nikimuuliza ananiambia ni kazi za nyumbani maana ameenda kwao baada ya kufunga chuo so kazi za shambani ni nyingi muda mdogo.

Sasa tokea jana hatukuwa na maelewano mazuri mpka siku inaisha hakuwa sawa. Leo sasa kanitamkia Live kwamba karudi kwa jamaa yake kwa kuwa 'ametoka nae mbali' so ni ngumu kumuacha.

Nyie huyu msichna nina miaka nae miwili leo anakuja kuniacha ghafla hivi mumivu yake sikieni tu ni afadhali hata maumivu ya kutolewa roho😭😭.

Kuchwa kunauma sana hasa muda na pesa nilizowekeza kwake nikifikiria ningekuwa na mtu seriously pengine ningeshapata hata mtoto now.
 
Hakuna wengine? Mrudie nawe yule wa kwako.

BTW, angekuwa ni sahihi kwako asingeondoka maishani mwako, simple.

Shukuru ameondoka na mpongeze
 
Kila mara tuanawaambia Usiwekeze chochote kwa jinsia ya kike lakini bado hatuelewani, kinachokuuma wala hata sio mapenzi ni huo uwekezaji uchwara 😂, kubali na jipe muda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…