Nimeachana na Mpenzi wangu!

Nimeachana na Mpenzi wangu!

Jaribu kushikilia maisha yako kichwani haina haja ya kuleta deals kama hizo hapa.
 
alishakuchoka soma alama za nyakati ukiona dalili unajiandaa mapema tu akikologa utupa kule dadekiiiiii
 
alishakuchoka soma alama za nyakati ukiona dalili unajiandaa mapema tu akikologa utupa kule dadekiiiiii
Kula tano Popote Ulipo Mkalii
 
Sasa kama humpendi maumivu ya nn....sema tu unampenda ila basi tu dume zima umebwagwa kirahisi...jichunguze una kasoro sio bure..
 
Si kweli ww, mimi wanawake kibao wamenitoa na najionea fahari kwa kweli.
Penzi kuvunjika hapo kawaida nothing last forever..
 
Hatimaye shule za msingi na sekondari zitafungua Jumatatu ijayo

Nimeongea kama T.O.D
 
Back
Top Bottom