Sasa jmn hata 25 bado unaweza ukajihesabu wew ni mwanaume!!???Mna Fikra Fupi shida kubwa sana
Mzee nina Miaka 21, Tuheshimiane!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ona sasa 21 kha kha khaaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4]Sasa jmn hata 25 bado unaweza ukajihesabu wew ni mwanaume!!???
Kumbe 21???Sasa jmn hata 25 bado unaweza ukajihesabu wew ni mwanaume!!???
Hakuna shida. Umri wako na wa dem wako ni sahihi kabisa.kwani kuna sheeda asee?
Hahahaha umenichekesha sana na hii comment mahsusi.Bila shaka balehe inakusumbua.
shwari sana mkuuDaah vipi kijana wangu Jose