Nimeachana na mke wangu


Sawa mkuu nimekuelewa
 
Reactions: Tsh
Hiyo tabia ya ugomvi ameianza lini? Kabla ya mimba alikua hivyo?

Usichukue maamuzi ya haraka kiasi hicho,usifikiri watu wote waliopo kwenye ndoa zao wanastarehe tu kila siku.

Ameianza nilipo pata safari ya kikazi
 

Sawa mkuu nisahihi lakini yanatia hasira sana haya mambo
 
Amekuchukia kwasababu ya mimba na anavyofanya ivyo moyoni mwake anakuwa na amani sana,usijali mwanamke akikuchukia sana anakuletea kopi yako,akishajifungua utashangaa anabadilika kabisa

Hahahah bola hata umenifanya nitabasamu hapo kwenye copy
 
Polee ila wanawake wengine huwa naona ni visa tuu wanasingizia mimba.

Madam usiombe yaan mimi najijua huwa sio mtu wakukata tamaa kabsa lakini ukiona mbaka nafanya maamuzi magumu jua maji yashingo
 
Mkuu kwani hiyo ni mimba ya ngapi tangu muoane..yaani huyo ndo mtoto wa kwanza unaye tarajia kumpata?
Kama jibu ni ndiyo basi unatakiwa uzoee hiyo hali maana ni kawaida sana kwa wanawake wajawazito

Duuh sawa mkuu nimekuelewa
 
Achana na Dada yake wote lao moja- speaking from experience.

Cha muhimu umeupiga mwingi sana umeweza kutemana naye.

Mtihani wa mwisho kwako no baada ya mtoto kuzaliwa,je hutamfeel na kuona anahitaji mapenzi ya baba na mama?

Daah nitajua nafanyaje sababu namuwaza sana mwanangu baada ya kuzaliwa
 
Mambo ya kuoa bila kujifunza. Iko vipi mwanamke ni mtu wa hisia...na anapokuwa na mimba anapokuwa na mimba anataka wakati wote uwe naye...

Daah mkuu ubarikiwe sana umeongea kitu kikubwa sana shukrani
 
Ukiwa mjamzito unaweza kufanya vitu mpk ukajishangaa mwenyew kama ndio wew tena unavifurahia na kujisikia aman kweli moyoni, hivyo vibweka anavyokufanyia ...

Sawa mkuu Asantee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…