Nimeacha pombe kupitia mkesha wa pasaka hii

msomso

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
464
152
Ndugu wanajamvi,

Nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB Tabata Bima.

Aisee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St Merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna supu ya mbuzi mda huo.

Tumeondoka tukiwa tumepiga supu nimefika nikamgegeda mtoto wa watu nimemuachia SAA 9 mchana niliwakomalia lodge saaa 3 wanataka wanitoe nikawaambia mimi nimeingia.

Leo Tarehe ya Leo ntatoka kesho mpaka sasa mtoto ninae nimefikia uamuzi huu baada ya kuamuka nimechoka nikikosa hamu ya chakula nakosa ladha kabisa ya chakula nasema tena mie na pombe basi nimeacha Byee pombe kwanza unazeeeesha sikutaki.

Ushauri wana JF tuacheni pombe wakuu
 
Ndugu wanajamvi nimesikia uamuzi huu mkesha wasikuu wa jana nimekunywa bia takribani 15 (castle lager) KB tabata bima Aiseeee nilimpata mtoto mmoja mzuri sana anasoma chuo cha ualimu St merry lengo awe mwalimu tulikutana pale tumekunywa pamoja bia nililewa sana tumeondoka SAA 10 pale huwa kuna supu ya mbuz mda huo tumeondoka tukiwa tumepiga supu nimefika nikamgegeda mtoto wa watu nimemuachia SAA 9 mchana niliwakomalia lodge saaa 3 wanataka wanitoe nikawaambia mimi nimeingia Leo Tarehe ya Leo ntatoka kesho mpaka sasa mtoto ninae nimefikia uamuz huu baada ya kuamuka nimechoka nikikosa hamu ya chakula nakosa raza kabisa ya chakula nasema tena mie na pombe basi nimeacha Byeeee pombe kwanza unazeeeesha sikutaki.Ushauri wana JF tuacheni pombe wakuuu
Nafikiri ulichokusudia kutupasha Ni kuhusu huyo mtoto. Ujumbe umefka
 
Wakuuuu bia mbaya sana kwanza inachosha mwili mpaka akili tuiache wakuuuu haisaidiii
 
Wakuuuu bia mbaya sana kwanza inachosha mwili mpaka akili tuiache wakuuuu haisaidiii
Isome vizuri hiyo post no. 10. Au kama hujaielewa sema ueleweshwe. Imesummarize mengi mno...
 
kwanza vp umepiga vingapi? na ulikumbuka kondom kile cha kwanza? nipe jibu nikupe njia ya kuacha
 
kwanza vp umepiga vingapi? na ulikumbuka kondom kile cha kwanza? nipe jibu nikupe njia ya kuacha
Mkuuuu kwa jinsi alivyo mtoto nilishindwa tumia kondom nimeteleza bila ndom naomba ushauri wako niache pombe
 
kwanza vp umepiga vingapi? na ulikumbuka kondom kile cha kwanza? nipe jibu nikupe njia ya kuacha
Mkuuuu kwa jinsi alivyo mtoto nilishindwa tumia kondom nimeteleza bila ndom na nimempiga vinne vya adabu naomba ushauri wako niache pombe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom