Jiran mwema
Senior Member
- Nov 7, 2015
- 164
- 104
That is de most important thingHuwezi kuacha mapenzi cha msingi na la sekondari tafuta hela mkuu, mapenzi yana connection na hela ingawa hela sio kila kitu lkn jitahidi angalau uwe na ya kuweza kumtimizia zile basic needs.
Moyo unavujaje damu .??! upo na nguvu za kutext .?? Acha kuingiziaHabar wanajamii forum
Katka maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo cku ntaamua kuachana na suala zma la mapenzi ila kwa yaliyonitokea Sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZ
Nilkua na Mpenzi tuliependana xna lakn kauumiza moyo wangu, ameucha moyo wangu ukivuja damu. Eti wanajamii ni Halali kuendelea kung'ang'ania mapenz wakati unampenda anamirupo kibao?? INAUMIZA SANA MOYO!!!!
Unataka tukubembeleze uyarudie?Habar wanajamii forum
Katka maisha yangu sikuwahi kufikiria kama ipo cku ntaamua kuachana na suala zma la mapenzi ila kwa yaliyonitokea Sina budi kusema SITAKI TENA MAPENZ
Nilkua na Mpenzi tuliependana xna lakn kauumiza moyo wangu, ameucha moyo wangu ukivuja damu. Eti wanajamii ni Halali kuendelea kung'ang'ania mapenz wakati unampenda anamirupo kibao?? INAUMIZA SANA MOYO!!!!
Huyu amepata elimu ya BRN ambayo ni kati ya 2012-2015.Hivi Kwanini watu wanaweka X instead of S