Nime-trade $200 nikapata $4000

Mfano ndo inakuwa Real Account 😂😂😂😂😂
 

Attachments

  • 2019_12_11_14.18.36.png
    24 KB · Views: 11
Umeshamegwa hakuna broker wa ivi.
 
😛 Ushauri ni kwamba hicho kishika uchumba cha $600 ni kidogo sana mkuu hivyo tuma kabisa $1,500 ili uwe na uhakika na mchumba wako umtakaye ($4,000)
Nakutakia Christmas njema na Mwaka Mpya vile vile 🤣
 
Tamaa ilimponza fisi
 
Yaani ili upate hela inabidi utume hela kweli wanaijeria sio watu wazuri kabisa .....utakuwa maskini muda mfupi

Wengi wamelizwa sana na forex hao ni matapeli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…