hahahahaaaaaaaaaaaa,jamani hapa niwaelewe je sasaDuuh @m011 gari ulilonipa hulikumbuki tena???? Haya mkuu ni hii hapa ila nimelibadilisha rangi
View attachment 190216
Duuh @m011 gari ulilonipa hulikumbuki tena???? Haya mkuu ni hii hapa ila nimelibadilisha rangi
View attachment 190216
mkuu kwani gari langu linaumwa ukimwi mpaka likonde hivi ?
Tena hapo nimejitahidi kulitunza, ungelikuta limebaki matairi tu
Utakuwa mhaya wewe !! jokes!
Nimechanganya mhaya na......