Nime-overdose Msaada wakuu

Kapepo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2015
Posts
1,078
Reaction score
1,227
Habari jf doctor nimekunywa dawa siku ya pili leo dawa ni za malaria mseto zile za kunywa kimoja asubuh kimoja jioni sasa leo muda huu nimejisahau nimekunywa viwili badala ya kimoja naombeni ushauri nifanyeje kuepuka madhara yatakayotokea

Pole. Kunywa maji mengi au juise. Hamna madhara makubwa labda kichwa kuuma . Nadhani jioni usinywe endelea kesho na mzunguko wa dawa. Kuwa makini mkuu ingekuwa dawa ya pressure ungepata big side effects
 
assante mkuu na kichwa kinauma kweli kwahiyo haina haja ya kunywa maziwa kwa hii hari?
 
Meza kimoja kama kawaida jioni, maana duration ni 12 hrs ukipitisha itasababisha plasmodium kuzaliana tena..
sawa mkuu shukrani
 
assante mkuu na kichwa kinauma kweli kwahiyo haina haja ya kunywa maziwa kwa hii hari?
Haina haja ya maziwa . Hydrate mwili na maji na vimiminika kama juisi ya machungwa fresh au ukwaju chochote kilicho rahisi kutengeneza kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…