We nafasi yako ni kuandika tu hapa jamii forums, hakuna aliyediriki kwenda mbele zaidi ya kuandika tu pale alipookotwa kule porini. Cha ajabu akiwa kwenye khali ile madaktari wote wakatii amri na kurudi kazini. Nani kamsaliti mwenzie?? Tusiwe wanafiki. Ulimboka fanya shughuli zako nyingine, hii nchi imejaa wasaliti tofauti na ulivyodhani!