nime "GIVE UP" kupata mwenza JF

nime "GIVE UP" kupata mwenza JF

ally habib

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
37
Reaction score
8
km pazia la utaftaji wenza uraian ltafungwa lbakie l JF wng 2tadanja bachela yn kwny vigezo vyao m nna k1 kwmb am man bs
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
 
Haya tulia,waachie wenye vigezo vyao.
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
Nataka nikununulie nyumba Dubai,vipi utaeleweka?
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
Tafuta tu Wazee mamaaa ...vijana cku izi hawahongi!! tunawaza gari na kijikazi kitakakochokufanya usumbue mujyin!! Ukiwa navyo hivyo madem ni BUUUUUURE BWERERERE TENA UNAFANYA KUBADILISHA KULIKO KUHONGA MSICHANA MMOJA DAILY...TAFUTA MADINGI ZETU UMRI UMEENDA NDO UTAWEZA KUWAPELEKESHA !!!
 
Uzuri siku hizi wanawake tunajua kuzitafuta wenyewe. Shida zenu mkalilie hukooo, utasemaje una mke wakati hujui hata chupi yake anapata wapi? unaoa mke agharamie shela yake mwenyewe? kwanini wanaume wa zamani walikuwa wanajiskia fahari kuhangaika na kuhudumia wanawake wao ila wanaume wa leo hii wengi wao wakikumbushwa responsibilities unakuwa umekosana nao??
 
just chill, not easy as u think of..........kumpata mwenza si kazi rahisi
 
Uzuri siku hizi wanawake tunajua kuzitafuta wenyewe. Shida zenu mkalilie hukooo, utasemaje una mke wakati hujui hata chupi yake anapata wapi? unaoa mke agharamie shela yake mwenyewe? kwanini wanaume wa zamani walikuwa wanajiskia fahari kuhangaika na kuhudumia wanawake wao ila wanaume wa leo hii wengi wao wakikumbushwa responsibilities unakuwa umekosana nao??
mliyataka wenyewe haki sawa!! tunatoka wote kwenda kazini, unalipwa/nalipwa...tunarudi nyumbani unaosha vyombo mi napiga deki, unapika mi nafua nguo!....CHAKUSHANGAZA umeme (baba), maji(baba), kodi (baba), chakula (baba) ada(baba) ndugu zangu (baba) ndugu zako (baba) kuingia kwako leba sio kwamba ni mwanaume kakutakia, hayo ni mipango ya Mungu....
 
tafuta kwanza pesa harafu mwenza atakuja bila kumtafuta. pesa ni sumaku.
 
km pazia la utaftaji wenza uraian ltafungwa lbakie l JF wng 2tadanja bachela yn kwny vigezo vyao m nna k1 kwmb am man bs

ukitaka wa kuhongwa wapo na ukitaka wa kukupenda wapo, dunia yako chaguo ni lako
 
ally habib! angalia uwezo wako kwanza, siku hizi hawa watu wamecharuka ndugu yangu. Careers na pesa ndo vigezo vyao, hapendwi mtu tena saivi...
 
Last edited by a moderator:
Njoo kwangu, ujue kukata kiuno tu, vingine mipango ya Mungu, tutasomeshana wenyewe, tutatafuta hela pamoja, kama ni magari tutaenda wote show room. Pasu kwa pasu.
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.

Utaishia kumegwa na ndoa utaisikia kwa wenzako au huchoki kuhudhuria kwenye vikao vya harusi na kadi za michango kwa wenzako.
Mama yako alichagua vyote hivyo kwa baba yako?
 
Back
Top Bottom