nime "GIVE UP" kupata mwenza JF

nime "GIVE UP" kupata mwenza JF

Kama una tamaa una tamaa hata upewe kisiwa na sheli anamegewa McDonalds mwenye hela zake itakuwa nyie wa vitz na kupangiwa nyumba/ubavu.

Hahaha naona ushavurugwa byeee....katafute hela acha kupoteza muda hapa online. ohooo ukweli haubadiliki kwamba men ndio bread winner. mie nakuachia hapa kwani nshaona wavurugaji walichakuchafua tayari.
 
Ukweli utabaki pale pale kwamba ndevu hata simba anazo

Unatoa mfano ambao sio logic wala hauMake sense katika maisha. Kama una mawazo hayo bado ya kusubiria m/ume ndo kila kitu huku we hela ukipeleka Moshi imekula kwako na huyo asiye jitambua.
Au ndo yaleyale unaolewa unataka hadi ukoo mzma usaidiwe na mumeo?
 
I am a man,wala sihitaji mke wakati sina hela,hata kama huyo msichana ana background nzuri kiuchumi.Kwa mwanaume kukosa hela ni fedheha kuu,bora utafute hela kwanza na mengine yafuate.
 
Mbona tumeona huko hatuna hela kihivyo lakini tunaishi vizuri tu, Umachame inategemea mtu na mtu hata makabila mengine tunasikia yanaua waume zao kila siku.

Mkuu uombe Mungu uendelee na maisha hayohayo ya wastani ambazo social services ndani ya nyumba zinapatikana na ikitokea tatizo unaweza kusolve.
Ukiwa na hela imekula kwako au hujui kwa nini wanaitwa wapalestina? Muda wowote bomu litalipuka.
 
I am a man,wala sihitaji mke wakati sina hela,hata kama huyo msichana ana background nzuri kiuchumi.Kwa mwanaume kukosa hela ni fedheha kuu,bora utafute hela kwanza na mengine yafuate.

Unataka kuwa na hela kama Mengi au?
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.

^^
Kwa niaba ya wanaume mafukara,,asante
^^
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.

mh icho unachokiekea .... ni cha muhimu pia mwanaume kuwa nacho. Ndo maana wengine wanalelewa kwa sababu tu ya icho!!
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.

warrrrrrrrrrrrrete dada. Asante!!!!
 
kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.

Muonee huruma mwenzio...mpe bure utaongezewa!!
 
Hahaha naona ushavurugwa byeee....katafute hela acha kupoteza muda hapa online. ohooo ukweli haubadiliki kwamba men ndio bread winner. mie nakuachia hapa kwani nshaona wavurugaji walichakuchafua tayari.

Endelea kuwa na mawazo finyu hayohayo kuwa m/ume bread winner wakati kuna w/wake wenzako wana hela kuliko hata huyo m/ume, hawasubiri kumpata m/ume mwenye hela.
 
Back
Top Bottom