stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
nani anapenda mwanaume suruali siku hizi!!!!!!!
We hatukushangai ulishasema kabisa we ni mMachame.
Huwezi acha asili.
nani anapenda mwanaume suruali siku hizi!!!!!!!
Uzuri siku hizi wanawake tunajua kuzitafuta wenyewe. Shida zenu mkalilie hukooo, utasemaje una mke wakati hujui hata chupi yake anapata wapi? unaoa mke agharamie shela yake mwenyewe? kwanini wanaume wa zamani walikuwa wanajiskia fahari kuhangaika na kuhudumia wanawake wao ila wanaume wa leo hii wengi wao wakikumbushwa responsibilities unakuwa umekosana nao??
We hatukushangai ulishasema kabisa we ni mMachame.
Huwezi acha asili.
eeeeeeehhhhhhhh.... nakusalimu kwa jina la bwana.Njoo kwangu, ujue kukata kiuno tu, vingine mipango ya Mungu, tutasomeshana wenyewe, tutatafuta hela pamoja, kama ni magari tutaenda wote show room. Pasu kwa pasu.
Pole yako enhee!!!!!tena POLE!!!! in capital letters
u know me better than the way I know my self!!!!!!
Mama leo umeamkaje mbona mkali hivyo?kama huna vigezo go screw ya self, hapa ni hela, elimu, na mipango. sura, ndevu na map......u hata mbuzi anayo. so mwanaume si sura, ndevu wala map....u!! mwanaume mipango, mwanaume shekeli, mwanaume kuwajibika na kumtunza mke.
Pole yako wewe basi ulidanganya katika ule uzi wa Wadada wa kichagga Mjisafishe.
Mbona tumeoa huko huko na hatuna hela kihivyo lakini tunaishi vizuri tu, Umachame inategemea mtu na mtu hata makabila mengine tunasikia yanaua waume zao kila siku.We hatukushangai ulishasema kabisa we ni mMachame.
Huwezi acha asili.
Mama leo umeamkaje mbona mkali hivyo?
Sasa kama unajua kutafuta hela unataka ununuliwe chupi ya nini? Hela yako wewe ukajenge kwenu Moshi ila yangu tutumie wote si ndio?
Hakuna m/ume -------- atakaeoa m/mke mwenye mawazo kama yako labda kidogo mjinga ndo anaweza kuleta na posa.
M/mke mwenye upeo wanagawana hadi majukumu katika familia kama mna watoto atataka hata mmoja amsomeshe yeye. Sio wewe unakazi unataka hadi chupi na Pedi ununuliwe sasa si bora ukae nyumbani nijue mke wangu Goalkeeper anasubiri kudaka.
Utaishia kumegwa na ndoa utaisikia kwa wenzako au huchoki kuhudhuria kwenye vikao vya harusi na kadi za michango kwa wenzako.
Mama yako alichagua vyote hivyo kwa baba yako?
km pazia la utaftaji wenza uraian ltafungwa lbakie l JF wng 2tadanja bachela yn kwny vigezo vyao m nna k1 kwmb am man bs
km pazia la utaftaji wenza uraian ltafungwa lbakie l JF wng 2tadanja bachela yn kwny vigezo vyao m nna k1 kwmb am man bs
Ukweli utabaki pale pale kwamba ndevu hata simba anazo
you will jiju yaani jeiefu ni mahala pakutafutia vimwana kereuwiii..
uliniquote vibaya ktk huo uzi tu!!!!
nidanganje ili iweje!!!!!!!kukuogopa stata mzuka!!!!!!
again POLE in capital letters kwa kupenda kushadadia
makabila ya watu,thread inasema vingine unarukia mambo mengine
Subiri kumegewa mkeo na wanaojua ku care
Mdogo wangu, sasa naona umekasirika.. cool down a little! Msije kutwangana kwenye keyboard.