Nime-break up na mpenzi wangu...

Nataka nimsikie na mwanaume nae anasemaje!
Huwenda ulikua gogo hujitumi sasa mzee akishatupia vitu ni kumbonji tu

Nikweli sio kwamba nayajua saaaana ila napenda kujaribu style tofauti na foreplayes tofauti tofauti n siku zote mm huwa mwafunzi na nitabaki kuwa studentiiiii
 
Eti "sihitaji ushauri"

Just get ready for truck loads of bullshit coming your way. Sisi ndio walimwengu, tutakushauri tu, utake usitake!
 
Thats why nikasema anamazuri yake meeengi ila kwaya machache punguvu atakuya meza kwamaji siwezi
 
Nikitu kimoja tu kwangu ambacho ningeweza kumove on na yeye hata kama angekua nanini ni yeye kuwa mkweli tu atakama ukweli ni mchungu na pia kufanya yale tulio kubaliana pia na mm namengi madhaifu kweke jpo siyajui
 
Mfano hai wa mwanamke mwenye thamani ndogo ndo wewe sasa.

Kwahiyo nakushauri ongeza self esteem yako kdg
 
Tuliposema Awamu Ya Tano Inatufaa Sana
Mlibisha Lakini Mmeanza Kuona Rangi Ya Gold
Kosea Kuoa Lakini Siyo Kuchagua Ukikosea Kuchagua Ni Mpaka Baada Ya Miaka Mitano
 
Harufu yake ilizidi hasa pale alipoishiwa hela uongo?

Wakati nayeye anashukuru huko aliko kuachana na wewe,sababu inawezekana nyota yake uliiharibu
 
Njoo kwangu nitakujali hadi nitakupeleka Babay care!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mfano hai wa mwanamke mwenye thamani ndogo ndo wewe sasa.

Kwahiyo nakushauri ongeza self esteem yako kdg

Hawa ndo wale Wana JF wanaojuaga kila kitu ooooh maskini nakushauri ujenge mazoea yakuwa unasoma vitabu labda utapunguza kubwabwaja nakuonea huruma poleee
 
Harufu yake ilizidi hasa pale alipoishiwa hela uongo?

Wakati nayeye anashukuru huko aliko kuachana na wewe,sababu inawezekana nyota yake uliiharibu

Nope huwa napenda kusema ukweli na ukweli nikwamba sio mtu wakulia shida au flani niazime elfu ishirini nitakurudishia
 
Hawa ndo wale Wana JF wanaojuaga kila kitu ooooh maskini nakushauri ujenge mazoea yakuwa unasoma vitabu labda utapunguza kubwabwaja nakuonea huruma poleee

Unasoma vitabu vingapi ?

Maana mpka umri huu nimefikisha vitabu 1000+ kwa hiyo uwezo wangu wa kufikiri unaweza juu kwa hata mara 4 hadi tano zidi yako

Kifupi mimi sio level ya wafikiriaji wa kawaida kabisaaa.

Narurudia tena you are cheap,tafuta kuongeza self esteem yako angalau itakusaidia kusimamia unachokitaka maishani otherwise...

Utakuwa dampo la kumwagia shahawa za watu.
 
Mbona unapanic mkuu punguza hasira kwanza alfu tutaendelea au labda nukuitie @Kasie au @Bujibuji
 
Mbona unapanic mkuu punguza hasira kwanza alfu tutaendelea au labda nukuitie @Kasie au @Bujibuji
Hiyo ni indicator kuwa si hubby material; amesoma vitabu viiiiingiiiii mpaka vinampanikisha hovyo anashindwa kujenga hoja kwa utulivu. Afadhali angesoma kile kimoja tu cha ^How to Understand Women, Volum One^ kingemsaidia kugundua one crucial point kwamba the moment a gentleman akiargue na habiba, then he is poised to, or rather he has lost it all.
 
Umemuacha wewe ,halafu umechanganyikiwa wewe,umeumia wewe.kitu kingine hakukuwa na sababu ya wewe kuweka wazi madhaifu ya mwenzako.inaonyesha hujakomaa bado.watu wanauguliwa,wanasafisha uchafu wenza wao,mpaka wanapona na maisha yanaenda.ukute na mwenzio alikuwa anakuvumilia tu ...na wewe una vimeo kibao.
 
Mbona unapanic mkuu punguza hasira kwanza alfu tutaendelea au labda nukuitie @Kasie au @Bujibuji

Low self esteem hii ndo shida yako...
Uamuzi ni wako kuitatua au kubaki hivyo hivyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Hamna povu hapa ni kukusaidia tu
Sasa km unadhani utaipata kirahisi rahisi kwa kujiita babrajohanas mara sijui gummy basi hamnaga kitu km hicho..

Learn to love urself[emoji45][emoji45][emoji45].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…