Wewe!!!!!!!! You mean kweli umebakwa kinyume na maumbile??????
HahahahahahahahaK-) Huyu ni KIMBELE na MAUMBILE I seee
Wewe!!!!!!!! You mean kweli umebakwa kinyume na maumbile??????
Huyu anataka kutufanya sie wajinga,angekuwa mwanamke kashikiwa bastola na kubakwa tungesema ni kweli,halafu eti alimwacha ana hamu baada ya kuanza kukojoa kabla yake,hapa ninachoona kimuumacho ni kuwa inawezekana hakupewa mshiko kama anavyosikia kwa wenzake baada ya kazi ya kumridhisha Boss wake.Yani mwanaume ushikiwe bastola afu storongo isimame?? Mi nshakuwa mkubwa kwa hadithi za namna hii.
Unaposema alikuacha na hamu maana yake ulifurahia lile tendo la kubakwa!!!tukuelewe vipi
HahahahahahahahaK-) Huyu ni KIMBELE na MAUMBILE I seee
unabakwa ? jongooo hasimami kwa kuonyeshwa silaha, unless ungesema alijaribu kukubaka au alikuwekea viagra bila kujua ukuni ukainuka wenyewe.....
psychologically mwanaume akitishiwa silaha ubavu wa kuendelea kusex ni mdogo unless ulikua unamtamani boss wako
Kwahio angefika kileleni hamu yake ikaisha ingekuwa ishu nyingine sio angesamehe ile episode yote?Anaweza kusamehe kubakwa ila hawezi kuacha liende kimya kimya wakati yeye hakufika kileleni!!!!!
hivi alimla akiwa ameshikiwa bastola?hiyo bastola ilishikwaje kiasi kwamba boss alikuwa anamnyooshea huku ye anafanya mambo.....sipati picha style gani ilitumika
Unajua mwanaume mpaka abakwe lazima awe aroused na amedi***a...Sasa kama mtu kafikia hatua mpaka ya kudi***a maanake ameshatamani..Naimagine kashikiwa bastola kwa uoga kweli..mtu utakuwa na hamu na ile kitu?? kama si kutetemeka tu na mikojo hata ikutoke...Mtu akiwe stressed out ule mchezo unaweza usichezeke itakuwa huyu aloweka under control....Hakuna uwezekano abakwe kama ile kitu imelegea kama karoti ilopikwa!! Tofauti kubwa na mwanamke ambae anaingiliwa tu!!Huyu jamaa alinogewa sana naona kakerekwa hakupiizzz!!!sheria inasema aliyeingizwa ndio aliyebakwa nadhan wataalam wa sheria watasaidia kurekebisha hii sheria maana wakat inatungwa ilikua inaona kama haiwezekan kwa mwanamke kutaka kumbaka mwanamke au sijui ndio mfume dume ulikua unamjali mwanaume zaid labda kesi yako iwe kutishiwa kwa kutumia siraha ya moto lakini kubakwa hapana hutashinda!!!
Unajua mwanaume mpaka abakwe lazima awe aroused na amedi***a...Sasa kama mtu kafikia hatua mpaka ya kudi***a maanake ameshatamani..Naimagine kashikiwa bastola kwa uoga kweli..mtu utakuwa na hamu na ile kitu?? kama si kutetemeka tu na mikojo hata ikutoke...Mtu akiwe stressed out ule mchezo unaweza usichezeke itakuwa huyu aloweka under control....Hakuna uwezekano abakwe kama ile kitu imelegea kama karoti ilopikwa!! Tofauti kubwa na mwanamke ambae anaingiliwa tu!!Huyu jamaa alinogewa sana naona kakerekwa hakupiizzz!!!
eti si yako ni ya mezani au ya mkononi!!!!!!!1
Haya niambie na mie nicheke basi?hahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha:frusty::frusty: