Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 71,305
- 94,996
Achana nao wote. Hata ungekuwa 30+, tulia utapata anayefaa.
Kuna watu hawayapendi maisha yao nadhani...
Achana nao wote. Hata ungekuwa 30+, tulia utapata anayefaa.
Kuna watu hawayapendi maisha yao nadhani...
I am a single dad but I agree with him
Nimeipenda hiyo kama ukimpenda hata Kabila badili!Option ya kwanza ni wazi haikufai. Option ya pili - Kijana ana miaka 29, wewe umri si chini ya miaka 29. Kifupi umemzidi umri. La pili ni dini tofauti. Hayo yote mawili si tatizo kama kuna upendo kati yenu. Wakati mwingine huwa nashangaa watu kuzungumzia dini wakati ukweli wenyewe misikitini/makanisani kwao ni vituo vya polisi. Siku hizi ukipenda badili hata kabila!
Mhhhhh wanawake wa4 wamemshinda?HE IS THE PROBLEM,ila kwenye maelezo atawasema wanawake ndo wabaya,angalia usije zalishwa hapo na wewe..i always really wonder hivi mwanaume kapitia wanawake almost mia atatulia kweli???some men wanaendekeza sana promiscuity hadi uzee unawakuta, kukaa na mtu kama huyo ni kujitaftia maradhi ya moyo,he cant keep a woman..
Nenda tu kwa huyo Virgin boy,muanze moja
Hahahahahaha ushauri safi sana huu, embu zingatia bi shost.Mzalie huyo wa kwanza mtoto wa tano afu mpige chini
Mwenye Watoto wanne ni kimeo hiko cha kufa mtu....kama hata hilo hulioni basi wewe nae ni kimeo kingine..
nawe una watoto wa mama tofautitofauti like him na una mpango wa kuoa