Mwenye Watoto wanne ni kimeo hiko cha kufa mtu....kama hata hilo hulioni basi wewe nae ni kimeo kingine..
Mwanamke tena vigezo?Mwanaume wa kutooana kwamba matusi ni kosa simtaki aisee..
Wewe jichagulie umpendaye..ambaye atleast amefika vigezo 6 kati ya 10 unavyovihitaji.
habari zenu wakuu,
Ni hivi, mwaka jana mwezi wa kumi na mbili nimebahatika kupata marafiki wa kiume wawili, mmoja kati ya hao ana watoto wanne na kila mtoto ana mama yake.
Nilipomuuliza sababu za kuzaa na kila mwanamke na kwanini akubahatika kuoa mmoja kati ya hao aliozaa nao alichonijibu ni kua hao watatu walimsaliti na mmoja kati ya hao wanne alikua mshirikina.
Lakini mimi nabaki njia panda sababu kijana anaonekana ni mkorofi coz kitu kidogo tu matusi, may be umechelewa kupokea simu anakutukana matusi ya nguoni na mengine hayaandikiki.
Nabaki njia panda kwa sababu Jamaa kangangania anataka kuleta posa kwetu but mimi namzungusha kozi jamaa wivu mwingi na mihasira. Afu pia najiuliza kwanini wenzangu washindweeee?
Pia kuhusu huyu wa pili yeye nae anadai anataka kunioa lakini we are differ in religion lakini anaonekana ni gud guy kimatendo na maongezi pia na anavyodai yeye hamjui mwanamke yani mimi ndo ntakua wa kwanza (kumbuka ana kazi yake na maisha he is about 29).
NB: sipo chini ya miaka 27 pia sina mtoto
Naombeni ushauri wenu niende wapi?
hahahahahah THE BOSS umetisha. angekuwa na mtoto moja siyo tatizo lakini wanne halafu ushindwe kuoa hata mmoja. hapana.Mwenye Watoto wanne ni kimeo hiko cha kufa mtu....kama hata hilo hulioni basi wewe nae ni kimeo kingine..