Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Nilisikia kuwa Makonda ameteka kituo cha redio,ibasi hapohapo nikasema kishapindua serikali ,kwa maana nimezoea kusikia wanaofanya mapinduzi huwa wanateka vituo vya redio,baadae tena ndio nikapata kilichojiri,ila nilistuka sana na kusema sasa kazi,na angechemsha akatangaza amefanya mapinduzi sijui jamaa yake angemfanya nini.