Chozilaurithi
Senior Member
- Apr 13, 2018
- 120
- 55
Pole sana mkuu na happy birthday to you.Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Heri ya siku ya kuzaliwa mkuu.Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Nane zipo tatuNdg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
8/8/2018Zipo mbili
Bora ungeondoka ww yy abakiNdg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
😱Bora ungeondoka ww yy abaki