Nilizaliwa 08/08 tukiwa mapacha

Nilizaliwa 08/08 tukiwa mapacha

Happu birthday to you!! Pole kwa kumpoteza twin wako
 
Heri ya siku ya kuzaliwa,
Tumuombee kheir pacha huko aliko.
 
Ndg zangu leo ni siku yangu ya kuzaliwa tulizaliwa mapacha kwa bahati mbaya mwenzangu alinitoka akiwa katika hatua ya kutembea nimekaa hapa nikimuwazia sana kwa uchungu kwa maana angekuwepo hadi leo tungeifurahia sote siku yetu pendwa yenye nane nane mbili nasi tukiwa wawili
Pole sana mkuu


Wewe ni msukuma au? Wasukuma wengi ni mara chache sana kukuta mapacha wote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom