[emoji134] [emoji134]Akijileta muue tu
Akija ....mwimbie mwanaume mashine.....[emoji38]....mbele za watu mwambie kibamia chako sikitaki tena......usisahau kutupa mrejesho!
[emoji108]Kisaikolojia watu wengi ndoa zinayumba kwasababu wanaoana kwa kigezo anamimba yangu au kanzalia mtoto......
Ukiwatafuta wataalamu wa teolojia watakwambia
Kasema alizalishwa, hajazaa.January? Mwanaume Ulizaa
Haleluya.. Mtumishi.Ukitaka kuishi kwa furaha msamehe mtu bila kuwa na condition. Tunafundishwa upendo wa kweli (agape) hauna masharti wala haujivuni na unastahimili jiulize ukimtukana na kumdhalilisha itakusaidia nini??
Jibu ni hakuna. Hivo mwambie nimekusamehe kwa yote uliyofanya japo hatuwezi kurudiana.
Utaishi kwa furaha sana .
Usimchukie yeg chukia uovu wake kwahiyo Mwombee ile roho chafu imuondoke asifanye madhambi yale kwa mtu mwingine
Wee acha tu, nashukuru kwa ushauriDaaaaaaah nmesoma hii post had choz lmenidondoka,umenifanya nikumbuke kitu pole sanaa,cha kufanya we mpotezee tu huyo bwana na usithubutu kumpa hata 1sec ajieleze yaan kaa mbal nae kabsaaa usijarbu kumsogelea hata na hata mawasiliano kata mpe blok kila mahala pia hata akienda kwa nduguzo kataa kabsa vkao vya kusuhisha yaan usikubali acha nae aisome namba usimhurumie hata kdgo,but kua makin sana usijiingize kwenye mahusiano mpk utapopata mtu ambae dhahir ana lengo na wewe otherwise Bora ukawa sngle tu uenjoy life na mwanao,wanaume washenzi my dear take care yalokutokea yasije jirudia