Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Once umefungua njia ya kuwaona wasio onekana basi inabidi uji hadhari na mengi mana watajua unawaona.

Like upo chini baharini na huna vifaa vya kukufanya ukapat hewa hakika utakufa.

Tusubiri kisa cha huyu Arsis.
 
Lakini hajajibu kuhusu Jina la Yesu, je yupo tayari kutamkiwa Jina hilo na pia kushirikiana na Yesu Kristo ili kuthibitisha ukweli na uzuri wake kwa wanadamu?
 
Gudyyyy
 
Na hapo Muumba wa mbingu na ardhi wala bado haijajulikana uwezo wake. Mi naomba umuulize Arsis IMANI ya kweli ni ipi? Je yeye ni nani hasa na anatokea dunia ipi?
 
1.Naomba niulizie kwa Arsis kama kuna viumbe vinaitwa Phoenex...vinacontroll Jua
2.Muulize pia Kiumbe kinaitwa Behemoth
3.Niulizie kiumbe kinaitwa orphanim..
4.Na Metatron...Huyu Inaandikwa ni angel mgeni ndio alikua Enoch Mwenyewe

Hao hamdyin nafikiri kule wanaitwa Gregorian Angels na wako mbingu ya Tano
Credit: Enoch..book 1
 
Mkuu na wish sana nione hao kamba wakubwa kias ukila wa 3 unashiba..
Sio mpenz sanaa wa kamba ila huwa nawakubal wale wadudu..wazur sana
kamba wa vidimbwi vya babu hawa, kama sio mlaji, mmoja tu anakutosha. Ni hatari. Mahandakini kuna rutuba ya ajabu, hata samaki wa pwani ya pale sio wengi lakini changu anakua ni changu kweli kweli si mchezo.

 
kamba wa vidimbwi vya babu hawa, kama sio mlaji, mmoja tu anakutosha. Ni hatari. Mahandakini kuna rutuba ya ajabu, hata samaki wa pwani ya pale sio wengi lakini changu anakua ni changu kweli kweli si mchezo.

View attachment 3076458
Eeeeehhh bwana eeeeeeeeeeehhh!!.
Mzee ni nomaa.
Mimi nimezoea kuviona hiv vikamba vya mjini hiv aisee vidogo hata kidole cha pete havifiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…