Mhh! Embu fafanua zaid Arsis iweje kuwatumia majini katika kukuza uchumi iwe shirk, Maana nabii suleiman aliwatumia na hapo naona Che mittoga amesema majini wazuri, Ina maana majini wazuri hawawezi msaidia mwanadamu kupata mali?Hayo mambo yapo, ni ushirikina mjubwa sana ambao utakufikisha uanza kutoa kafara za damu za watu.
Mimi napigana nao wanoyoyafanya hayo. Soma kisa cha Unguja, kipo humu, utayaona madhara yake kijuujuu, pia kisa cha Tanga. Utavipata hapa kwenye fahirisi ya uzi:
Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1 Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya...www.jamiiforums.com
Simba wewe umepata bahati ya kufunguliwa macho na kuona mengi ambayo watu wengi hatuyaoni, Kwa uzoefu wako ukitoa masokoni ni maeneo gani mengine ambayo mashetani wanapenda kuwepo.Naam ni mambo mazito sana, kinga ya kwanza ni salat na kulinda udhu wetu. Tusiziache wala kuzidharau sala zetu tano kwa siku, na kila tuwezapo kusali za ziada tuzisali. Ni kinga kubwa sana. Hii dunia ina mengi sana mabaya tusiyoyaona.
Hayo mambo yapo, ni ushirikina mjubwa sana ambao utakufikisha uanza kutoa kafara za damu za watu.
Mimi napigana nao wanoyoyafanya hayo. Soma kisa cha Unguja, kipo humu, utayaona madhara yake kijuujuu, pia kisa cha Tanga. Utavipata hapa kwenye fahirisi ya uzi:
Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho
Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1 Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya...www.jamiiforums.com
Asante kwa kunisaidia hili jambo.Mhh! Embu fafanua zaid Arsis iweje kuwatumia majini katika kukuza uchumi iwe shirk, Maana nabii suleiman aliwatumia na hapo naona Che mittoga amesema majini wazuri, Ina maana majini wazuri hawawezi msaidia mwanadamu kupata mali?
Hakuna jini mwema wa kukupa utajiri. Jini mwema anakushauri mema na kukukataza kufanya maasi.Vipi
Mtu anaweza kushirikiana na mtu mbaya kufanya mambo mabaya.
Pia mtu anaweza kushirikiana na mtu mwema kufanya mambo mema.
Kutoka na uzoefu wako.
Hivi kuna shida gani kushirikiana na Majini wema kufanya mambo mema ?
Kama Majini wema wapo, kuna shida gani kuwashirikisha katika kufanya mambo mazuri ya ibada ya maendeleo ?
Majini wema huna haja ya kuwatumia, wapo na wanafanya mema bila kutumiwa na mtu.Mhh! Embu fafanua zaid Arsis iweje kuwatumia majini katika kukuza uchumi iwe shirk, Maana nabii suleiman aliwatumia na hapo naona Che mittoga amesema majini wazuri, Ina maana majini wazuri hawawezi msaidia mwanadamu kupata mali?
Wapo kila mahali lakini wanogopa sana sehemu inaposomwa Qur'an na adhana.Simba wewe umepata bahati ya kufunguliwa macho na kuona mengi ambayo watu wengi hatuyaoni, Kwa uzoefu wako ukitoa masokoni ni maeneo gani mengine ambayo mashetani wanapenda kuwepo.
Vipi kuhusu makazi yao je kuna tofauti ya kitabia na elimu kwa majini wanaoishi majini na kwenye miti mikubwa na wanaoishi milimani?Wapo kila mahali lakini wanogopa sana sehemu inaposomwa Qur'an na adhana.
Kwamaana hiyo jini mwema anaweza kutoa msaada kimyakimya tu akiona kuna haja ya kufanya hivyo.Majini wema huna haja ya kuwatumia, wapo na wanafanya mema bila kutumiwa na mtu.
Kama ulivyo wewe binadam, kufanya mema mpaka utumiwe na mwingine?
Soma visa vya Arsis humu, hakuna hata kisa kimoja alitumiwa na mtu kufanya mema, bali yeye hufanya mema kwa wema wake tu.
Ila nami nakulaumu kwa jambo moja kama ishu ndio hiyo ni bora ungekuwa wazi kwamba kwasababu zilizo nje ya uwezo wangu nasitisha madaHabari Dada faiza FaizaFoxy
Samahani Sana Kwa kukukwaza kwa Bandiko Langu ambalo wewe Umeona Halina Maana..
Ufafanuzi:
Kama Ukiangalia Vizuri Bandiko hilo Limeandikwa Tarehe 05 December 2024 Obviously Lina Miezi Miwili Tangu liandikwe..
Na kama Umenotice Ni kwamba Baada ya Bandiko Hilo Sikuwasilisha Bandiko jingine tena kwenye Uzi huu..
Nini Kilitokea!
Watu waliomba Niongelee hiyo Mada na Nilikataa (Maana kwa Kawaida Huwa Sianzishi Mada Kwenye Mada ya Mtu mwingine unless Inahusiana na Jambo husika..
Ikabidi nimtafute Mwenye Uzi wake na Kumuuliza Kuhusu Maoni ya Watu kuongelea Kuhusu Muktadha Wa makanisa saba kama Ilivyoongelewa kwenye Ufunuo Na Ku Decipher the massage Behind nikapata Baraka Zote za Mtoa mada Kuwa ninaweza Kuliongelea..
Nilipoliongelea Baada ya Wiki moja Nikapokea Maoni Tofauti kutoka kwa Watu tofauti wengine ni watu ninaowaheshimu Sana kuniambia Nisitishe jambo hilo na Nilikubaliana nao na Nikasitisha Kuongelea Swala Hilo kwa muktadha wowote huku Wasomaji Nikiwaadaa Kuwa Nitawaletea Somo hilo nikipata Muda (Siri nyuma ya Kuahirisha Kila siku Kuleta somo hilo)..
Samahani Sana Kwa Kukereka lakini Kwa bahati mbaya Ni kwamba Kero yako Imechelewa Kufika kwa sababu Kero zote ziliwasilishwa ndani ya Wiki Moja huenda Ningeijibu kwa Muda..
Asante sana
Si mjinga, hiyo ni dhana ya wengi lakini ni kweli yapo, yanafanyika kishirikina, kishetani kabisa kwa makafara ya damu za watu.Kumbe ni Mjinga kiasi hiki.
hukulia mfano wa binadam tu, hakuna tofauti kabisa.Kwamaana hiyo jini mwema anaweza kutoa msaada kimyakimya tu akiona kuna haja ya kufanya hivyo.
Na vipi kuhusu wachawi, Wanaweza kuwakamata hao majini wema kichawi na wakawatumia katika shughuli zao za kichawi? au wao wanaweza kuwatumia mashetani tu?
Kikubwa usipotee sana,wengine hupenda kujifunza mambo tofauti tofautihukulia mfano wa binadam tu, hakuna tofauti ka isa.
Tunavtyoendelea na visa na mikasa ya SArsis tutayaona mengi sana. Mliyoyasoma mpaka sasa ni mwaka au miaka miwili tu ya mwanza yo kujuana nae, sasa ni zaidi ya miaka 30.
Kuna mengi sana ambayo nina uhakika wengi wetu hatujawahi hata kuyawaza. Ulimwengu wetu una mengi sana. Tusiache kusoma na tusidhani kila tunachokijua sisi ndicho hicho hicho.
It's been a long time sir but thats okay now am here with a new indentityhukulia mfano wa binadam tu, hakuna tofauti ka isa.
Tunavtyoendelea na visa na mikasa ya SArsis tutayaona mengi sana. Mliyoyasoma mpaka sasa ni mwaka au miaka miwili tu ya mwanza yo kujuana nae, sasa ni zaidi ya miaka 30.
Kuna mengi sana ambayo nina uhakika wengi wetu hatujawahi hata kuyawaza. Ulimwengu wetu una mengi sana. Tusiache kusoma na tusidhani kila tunachokijua sisi ndicho hicho hicho.
Not fair at all mkuu.... Tumengoja sana ili mwisho wa siku tusikie hiki? But once a decision is made there is nothing we can do to change itHabari Dada faiza FaizaFoxy
Samahani Sana Kwa kukukwaza kwa Bandiko Langu ambalo wewe Umeona Halina Maana..
Ufafanuzi:
Kama Ukiangalia Vizuri Bandiko hilo Limeandikwa Tarehe 05 December 2024 Obviously Lina Miezi Miwili Tangu liandikwe..
Na kama Umenotice Ni kwamba Baada ya Bandiko Hilo Sikuwasilisha Bandiko jingine tena kwenye Uzi huu..
Nini Kilitokea!
Watu waliomba Niongelee hiyo Mada na Nilikataa (Maana kwa Kawaida Huwa Sianzishi Mada Kwenye Mada ya Mtu mwingine unless Inahusiana na Jambo husika..
Ikabidi nimtafute Mwenye Uzi wake na Kumuuliza Kuhusu Maoni ya Watu kuongelea Kuhusu Muktadha Wa makanisa saba kama Ilivyoongelewa kwenye Ufunuo Na Ku Decipher the massage Behind nikapata Baraka Zote za Mtoa mada Kuwa ninaweza Kuliongelea..
Nilipoliongelea Baada ya Wiki moja Nikapokea Maoni Tofauti kutoka kwa Watu tofauti wengine ni watu ninaowaheshimu Sana kuniambia Nisitishe jambo hilo na Nilikubaliana nao na Nikasitisha Kuongelea Swala Hilo kwa muktadha wowote huku Wasomaji Nikiwaadaa Kuwa Nitawaletea Somo hilo nikipata Muda (Siri nyuma ya Kuahirisha Kila siku Kuleta somo hilo)..
Samahani Sana Kwa Kukereka lakini Kwa bahati mbaya Ni kwamba Kero yako Imechelewa Kufika kwa sababu Kero zote ziliwasilishwa ndani ya Wiki Moja huenda Ningeijibu kwa Muda..
Asante sana
"Je, ni kwa sababu hakuna Mungu katika Israel uulize neno kwake, hata unaenda kuuliza kwa Baal ze bubu, Mungu wa ekron?"Mjinga kivipi ?
Kama Sulemani aliyatumia Majini mema katika kumsaidia kufanyia kazi mbali mbali, kwanini mimi nisiichukue hiyo fulsa ili kujiongezea kipato?
Tambua kua kiumbe chochote duniani kinaweza kutumika katika shughuri za kuinua uchumi.
Punda anatumika kubeba mizigo, Ng'ombe anatumika katika shughuri za Kilimo.
Kwanini wewe umekasirika sana niliposema mtoa mada anisaidie kunipa majini kazi kama anauzoefu kwa upande huo?
Je ni kwanini wewe hupendi mimi kupata msaada toka kwa majini wema ?
Kumbuka ni Juzi Dr. Sule alitamka kuwa;
"Kuwatumia Majini wema kujiongezea kipato sio dhambi"
Ni kwanini wewe hutaki mimi kutumia hiyo fulsa?