Arsis, ukimuu;iza siasa hakujibu moja kwa moja kwa siasa za sasa duniani, anakupeleka kwenye historia za kale sana ulinganishe mwenyewe. Kuna siku nilimuuliza kwani i anasema hivy? Akanambia soma visa vya mitume utazielewa tawala za kidunia na utaelewa ni nani ndio mtawala wa kweli.Muulize arsis hivi hii CCM itatoka madalakani Kwa anavyo ona yeye au tuendelee kuwatumikia wabakaji???#
Mimi ni shombe wa Kiarabu na kidigo tokea babu yangu wa kabla ya babu yangu ndio nadhani hawajachanganya damu.maeneo yote ya kweli.wimpy hapo nimekula sana ice cream.we jamaa mwarabu mwarabu nin? usagara huko kote napajua. leo nimesjindwa kula mjini.kila mtu namuona yupo uchi. tena mama mmoja mtu mzima kaniangalia sana nikawa namkazia macho
Nimekuelewa sana, lakini nashauri tuendelee kusoma hiki kisa cha yasioonekana kwa macho na kusikika kwa masikio yetu, tuna mengi sana ya kujifunza.mkuu Corazon Espinado,tunajua majini wana elimu kubwa sana mfano hao wako kina Arsis wala hupati tabu kujua shida za watu yaani mgonjwa hana haja ya kujieleza nini kinamsibu wao majini wanajua kila kitu na kipi wafanye kumaliza tatizo,sasa ww umesema hufanyi hizo ishu za uganga wala hutaki sasa watu wakija kwako hasa baada ya kuona hu uzi wanasaidika vp? je,unaweza kumuomba Arsis amchunguze fulani ajue matatizo yanayomsibu na ipi tiba yake kwa atakayo yaona kwa huyo mtu. si umesema nae yupo Jf anasoma uzi huu
Wanasema, subira yavuta heri.Kweli nina maswali mengi sana,,lkn ngoja tuendelee kupata story zaidi
Swali zuri sana hilo, Arsis alishalijbu kiupana sana, ngoja nitafute kanda yake. Nitaliweka kwenye "vionjo vya Arsis".Kuna uwezekano watu mkifa mnahamia dunia nyingine
Inawezekana kwa kua nimekua nao na ndio chanzo kikuu cha uchumi tulichoachiwa na babu yetu. Kamba ni mali sana kwa sasa, haunipiti msimu wa kamba, hata nikiwa wapi, naacha kila kitu nawahi kamba.Kikapu kikajaa kamba............
Hii stori kamba wametajwa kuliko kitu kingine chochote
Nitazipitia zote kuziondoa. Mnisamehe sana.Typos zimekuwa nyingi mpaka inakuwa vigumu kusoma kwanini usipitie spelling errors na u,
Si mimi huyo, ni mchangiaji mada kama wewe tu. Promo zinakua nyingi ikiwa watu wataponda. elewa hilo.Unakuja kujipigia promo kwa ID nyingine.uandishi mbovu una makosa unakera.utunzi wenyewe hauvutii
Kikapu tu? Tunaogelea kamba msimu wa kamba. Cha ajabu sisi pale kwetu ndio kamba wake hawajulikani kabisa, tunawaona wengi kumbe ndio kidogo sana, wafanya biashara wa kamba wapo nyamisati, kusini huko.Hii ni Story Kamba. Ni KAMBA MWANZO MWISHO.MPAKA KIKAPU KIMEJAA KAMBA
Dah yani toka nimeanza kusoma huu uzi, naona kabisa maswali yangu mengi yanajibiwa humu ndani...... Kwanza huu uzi umefanya sahv nipate amani ya moyo!!!Si mimi huyo, ni mchangiaji mada kama wewe tu. Promo zinakua nyingi ikiwa watu wataponda. elewa hilo.
Arsis ni mtaalamu wa lugha za duniani, usishangae ukakuta neno la Kijerumani au mithali ya Kijapani, unapoendelea kuusoma huu uzi. Arsis ni kiumbe wa ajabu sana. Amini.Kuna muda nikataka kukupuuza ila hapo ulipotaja neno.... Telepathy, nikaweka kambi
(Ntakuja pm, maana mimi pia napitia the same story japo wewe umenizidi maqam🤝
Hivi vitu ukimuelezea mtu ngumu kuelewa maana kwenye watu 1000 huwa vimempata mmoja pekee au hakuna kabisa!!!
Baba yangu alikuwa spiritual master kwahyo haya mambo yapo
Tuko pamoja.Watu wanasema mara chai mara kamba anyways, bwanamkubwa mimi nibariki utajiri tu,,,,mm sitaki kujua ni chai au uji,,,,stori inasema ww umeambiwa uje utusaidie sisi binadamu wenzako,,,natanguliza shukurani mkuu.
Nimekuelewa sana. Tumuombe Mungu atufanyie wepesi.Nakubaliana na wewe sana katika hiki kipande hapo juu. Hata Biblia inasema ukiamua kuwa moto basi uwe moto kweli kweli na ukiamua kuwa baridi na uwe baridi haswa, na yule ambaye atakuwa vuguvugu nitamtapika, asema Mungu mwenyewe! Ni kweli hakuna kitu mbaya kwa Mungu au shetani kama mtu aliye vuguvugu!
Arsis ni mtaalamu wa lugha za duniani, usishangae ukakuta neno la Kijerumani au mithali ya Kijapani, unapoendelea kuusoma huu uzi. Arsis ni kiumbe wa ajabu sana. Amini
Kisa cha huyo mtu wa Nabii Musa kipo mbeleni huko, Arsis anakileta kivyake. Pia anakileta kisa cha Nabii Suleiman na mtu alieitwa Asfi bin Barkhia alieleta enzi ya Malkia mbele ya Mtume Suleiman. Jina kamili la huyo mtu alinipa Aisi ni Asfi bin Barkhiya bin Milahlah au kwa jina lingine Mihalah bin Yazou au Mihalhal,ni kweli.kuwa na kuona kwa jicho lingine kiulimwengu inawezekana sana tu.kama ulivyosema njia ni hizo mbili.
wapo watu walipewa elimu wakaonja siri min asrar. yan walijua siri za sirin mola aliwaonyesha vitu.au kamq hivo makudam hao wanakupenda wanakwambia sisi tutakua tunakusaidia na wewe usadie watu wapo binadam walipewa sirii ambazo hata mitume hawakua na elimu.chkulia mfano yule jamaa nabii musa or moses aliambiwa nenda mahali fulan mukiona samak anatoka mwenyewe anaenda baharin bas ndio mahali mtakutana na mwamba mwenyewe huyo ana elimu kushinda wewe Musa. na kweli yule bwana alikua anajua yaliofichika.
haoa hakuna cha ajabu dunia hii pana.
Kwa mtazamo wangu ibada ndio nyepesi kuliko zote. kwani ibada sio kitu cha kukitfuta au kulazimishwa, ni maisha yetu. Waislam tunaamini tunaishi ili tuabudu.Ila njia bora always huwa n hard way....
Na njia yenyewe n kufanya ibada sana mpk ufikie level hzo🤝
Ila ukitaka shortcut utakuwa na mwisho mbaya sana
Ninafuatilia sana kisa chako mkuu. Je wewe unatoa tiba kwa sasa?Nimekuelewa sana. Tumuombe Mungu atufanyie wepesi.
Nilimuuliza, hasemi hilo. Anasema yeye anasoma tu, mimi nikiwa nasoma.Oya Arsis anatumia jina gani hapa JF?