Niliyoyaona Mumbai(Bombay)

Nimeamini kumbe jamiiforum ina wahindi tena wengi
 
Halafu mbona wanaoenda huko kwa wazungu huwa hawaji na mabaya ya huko muda wote husifia tu.
 
Huko uchafu ndio kwao ila kama Dar tu kuna maeneo ya wenye nazo kusafi sana
 
Nasikia huko kuna chawa wa kwenye nywele ambao ili kumuua lazima utumie nyundo, uliwaona?
 
mimi nakwenda huko nataka kununu saree na mashati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…