Mkuu mbona hoja mlenda sanaMwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arusha
Nashangaa sana watu wanavyo compare Mwanza na arusha....Mwanza pako poa san arusha bangi sana
Hizo sehemu zote ni mjini na utakutana na jamii ya watu tofauti tofauti, kusikia kilugha ni nadra sana. Utakuwa ulipita shamariwa mkuu.Nimepita meco, buzuruga, igoma, natta na mkolan
Maeneo mengi yaanza na 'Nya'...Nimepita meco, buzuruga, igoma, natta na mkolan
Kwani Lazima ulinganishe na Arusha bro?Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza
Karbu igomaNimepita meco, buzuruga, igoma, natta na mkolan
NyamanoroMaeneo mengi yaanza na 'Nya'...
Nyasaka
Nyashishi
Nyakato
Nyambiti
Nyakahoja
Nyamongolo
Nyashana
Nyashishi
Nyamadoke
Nyakanazi. nk
Haha..au kishiriHizo sehemu zote ni mjini na utakutana na jamii ya watu tofauti tofauti, kusikia kilugha ni nadra sana. Utakuwa ulipita shamariwa mkuu.
Nyakanazi sio Mwanza bhna [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maeneo mengi yaanza na 'Nya'...
Nyasaka
Nyashishi
Nyakato
Nyambiti
Nyakahoja
Nyamongolo
Nyashana
Nyashishi
Nyamadoke
Nyakanazi. nk
Ni wapi walipokuwa wakiongea kilugha. Eneo ama mtaa Gani
Kwa nini umeulinganisha na Arusha??Wakuu wazima?
Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzuri ya kupumzika kwa hapa Mwanza.
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza
1. Wanawake wanapiga kazi sana huku(wanajishughulisha) mida ya jioni barabarani utakutana nao sana wakiuza either matunda, dagaa, samaki, maharagwe yaliyochemshwa tu, nyanya na vikorombwezo vingine4, pia wanachoma mahindi na kuyauza
2. Wengi wa wasichana huku ni waoga sana hasa kwa strangers
3. Draft la huku wengi hucheza French( hawajui kuhusu British)
4. Kila wanapokaa hudhani wote ni wa huku hivyo huongea tu kilugha
5. Hotels and Lodge za huku no bei rahis sana sana huanzia 30k
6. Mwanza ni mji mzuri sana, una mandhari nzuri kuliko Arusha( kwa mtazamo wangu)
Asanteni wakuu
Huu Uzi unataja my hood aisee nimeondoka huko zamani sanaaa....Hizo sehemu zote ni mjini na utakutana na jamii ya watu tofauti tofauti, kusikia kilugha ni nadra sana. Utakuwa ulipita shamariwa mkuu.
Huu Uzi unataja my hood aiseeKarbu igoma
Huu Uzi unataka my hood aiseeHaha..au kishiri
Google mkuu,Duu...codes za wap hzo mkuu?