Mwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arushaNamba 6 imenifurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanza hua ni nzuri bana, ndoto za watu wa Arusha ni kuishi na kuwekeza mwanza hauwezi the kusikia msukuma anawaza kwenda arusha afadhali aende ifakara, lindi, chunya, kigoma, mpanda, sumbawanga, madibila, rujewa, ubaruku, ambapo atalima na kufuga au kuchimba dhahabu , kuliko akateseke arusha
Arusha haiifikii Mwanza bna, Mwanza level nyingneNamba 6 imenifurahisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kijiji kikuubwa cha washambaWakuu wazima? Nafikiri kuna kapost kangu niliwah post humu kuuliza sehem nzur ya kupumzika kwa hapa mwanza...
Sasa kwa kipindi hiki cha wiki 2 nilizokaa huku hay ndo niliyoyaona na kujifunza...
Basi hapo meno ugolo watanunaArusha haiifikii Mwanza bna, Mwanza level nyingne