Niliyojifunza kwenye safari yangu na Auric Air kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam

Spanishboy what's the matter???
...unataka kujifunzia somo la " creative writing " through jf????
...labda kwa faida ya wengine, ulitaka tupate ujumbe gani??
...by the way HONGERA KWA KUPANDA NDEGE!
USHAURI
...hiyo thread ungeandika yoote kama inavyojionyesha kwenye hiyo blog sijui ya TABIA NCHI
...coz ameandika / umeandika vizuri na ina make sense...
...next time ukija na same issue concerning DODOMA then proper plan is inevitable!!!
 
Last edited by a moderator:
jamani nami nijieleza niliyojifunza kwa ndege hiyohiyo. Nimekuwa naogopa ndege ndogo kweli, pili nilikuwa sijui bei zake. Mara nyingi nilikuwa naona foreigners ndio wanapanda nikawa naziangalia kwa mbali. Nilipata safari ya dharura nikakosa nafasi ndege kubwa. Ikabidi nikate ndege ndogo huku nikitamani kulia maana hofu niliyokuwa nayo ni kubwa mnooo. Kwa kifupi tuliondoka salama bila mtikisiko wowote angani na kutua salama salimini. Na bei yake sikuamini ( sio kwamba ni ndogo sana) lakini kulinganisha na hiyo midege mikubwa ni ndogo, aidha nilidhani bei ni kubwa zaidi ya madege makubwa.
Ni kuweka ukweli wa ndege ndogo na niliyopanda ni hii hii Auric na safari ilikuwa nzuri sana.
Mwisho sina uhusiano wowote na Auric, Safarizangu natumiaga Boti naishi visiwani, ila ilinibidi tu sikuwa na jinsi na kiukweli bei ilikuwa reasonable.
 
Spanishboy what's the matter???
...unataka kujifunzia somo la " creative writing " through jf????
...labda kwa faida ya wengine, ulitaka tupate ujumbe gani??
...by the way HONGERA KWA KUPANDA NDEGE!
USHAURI
...hiyo thread ungeandika yoote kama inavyojionyesha kwenye hiyo blog sijui ya TABIA NCHI
...coz ameandika / umeandika vizuri na ina make sense...
...next time ukija na same issue concerning DODOMA then proper plan is inevitable!!!

Nakupendaga sana, uchelewi kutoa madongo
 
Last edited by a moderator:
Weka gharama uliyotumia kama Nauli. Ili tuweze kujua kama nasi tunaweza kuafodi ama laaa.
 
Nyie mpondeni tu lakini sis tunaopiga dili za watalii habari muzuri -wageni wetu wa mikumi tunawapunguzia safari baada ya kutoka zenji(boat /ndege) then dar - moro ( kwa gari) sasa itakuwa kwa mbawa znz/dar/arusha-moro then a car to mikumi!in short hajanikera na majidai yake!
 
Dar moro saa 1, je hiyo ndege ikienda mwanza si itakuwa 5 hours,

Au ikienda usa si ndio safari ya mwezi mzima
hahahaaa mkuu umeniacha hoi.....basi bora kiberenge kile kinachopita kwa reli kuliko huo mdegee
 
...kwa kweli ujumbe umefika. hata mimi nilikua sijui kama huduma hiyo ipo ingawa ni mkaazi wa mvomero, aitha wamiliki wameelewa kua inabidi wajitangaze kwa biashara nzuri zaidi.
 
moro dar ndege inachukua saa moja? Hapana,rubani akanyage mafuta zaidi. Mbona inakaribiana na speed ya gari!
 
Spanishboy what's the matter???
...unataka kujifunzia somo la " creative writing " through jf????
...labda kwa faida ya wengine, ulitaka tupate ujumbe gani??
...by the way HONGERA KWA KUPANDA NDEGE!
USHAURI
...hiyo thread ungeandika yoote kama inavyojionyesha kwenye hiyo blog sijui ya TABIA NCHI
...coz ameandika / umeandika vizuri na ina make sense...
...next time ukija na same issue concerning DODOMA then proper plan is inevitable!!!

kwanza nashukuru kwa kunipongeza kwa kupanda ndege, pili nitazingatia ushauri wako
 
N

Hata tulipowauliza watu wanaoishi maeneo ya modeko karibu na uwanja huo nao hawakujua geti lilipo (hapa inabidi kufanyike matangazo ya kutosha na kuweka bando kubwa kwenye barabara ya kuingia uwanjani hapo).

hapo kwenye bold... ulikuwa unalitafuta geti ukiwa maeneo ya modeko au kihonda? unless siufahamu uwanja wa moro ulipo
 
Back
Top Bottom