Spanishboy
Senior Member
- Apr 24, 2011
- 118
- 65
Ujumbe ni kuwa umesafiri kwa ndege au unatangaza biashara kwa niaba ya auric?
nilitaka kusema usafiri wa ndege utakuwa msaada mkubwa kwa wanamorogoro, hasa katika kukuza uchumi, maendeleo na kuwezesha mipango ya mji huo kuwa jiji.Sijapata maudhui kamili..
ndio muda unaotumika kwa sasa, japo wanaweza kutumia dakika 35 tuDar moro inachukua muda wa lisaa limoja? Ama nimesoma vibaya ktk blog yako?
Nikiwa uwanjani hapo nilikutana na bwana mmoja aliyejitambulisha kwa jina la Benard Myinga ambaye ni Afisa Ugavi kutoka Tanzania Tree Seeds Agents, wasambazaji wa mbegu za miti, ambaye alieleza mtazamo wake kuhusu usafiri huo mpya wa ndege katika mji kasoro bahari.
"Mfano sasa nakwenda Dar kwa matibabu ya mkono wangu ambao ulivunjika kwenye ajali ya gari nikielekea Iringa, nimekuwa nikipata tabu sana kupanda mabasi mpaka dar kwa matibabu, kwanza inachukua muda mrefu, pili mkono unarushwarushwa hivyo kuniongezea maumivu lakini inaniongezea gharama maana nikienda kwa basi siwezi kurudi siku hiyohiyo na lazimika kulipia hoteli"
Anachomaanisha mleta uzi kama unaenda moro ili kuepuka foleni za ubungo,kimara,mbezi panda ndege,umeeleweka mkuu
itabidi watu wa Auric air wakulipe kwa kuwatangazia biashara.