Niliwa-MISS-je. . . .

Last edited by a moderator:
Welcome back my darling Lizzy yaani nilikumiss hadi nikienda bafuni kuoga nakuona kwenye ndoo. Yani ungechelewa kidogo tu ningekuanzishia thread. haya niambie mrembo...za huko kijijini? Wazee hawajambo? Umetuletea zawadi gani wana JF?
 
charminglady asante mamie. . .
Hmmm siwezi kutaja aisee maana yapo mengi. Baba zake wote walimchagulia jina. . . .

ruttashobolwa . . .staki utanitekenya bana.


happy to see you back, nilikuwa napanga mbinu ya kukutoa huko ulikokuwa.

Kongosho nilikusubiria mpaka nikachoka weee. . .nikaona isiwe tabu acha nijirudie tu hata kama sijamissiwa.
Mi nina kesi na wewe...Yule mbuzi bado nimemhifadhi kwa Wamasai kule kwa Moromboo...Blaki Womani pekee ndiye anayeweza kusuluhisha kesi hii.
By ze way karibu sana jamvini.
Kaka PakaJimmy basi huyo tutamchinja siku ya Ramadhan. . ntakuja na mchele na mafuta nipate msamaha.
 
Last edited by a moderator:
Mising you big time Lizzy nitafutie kuku wa supu basi naona kijijini kwenu kuna neema
Hivi madame unatoa Like saa ngapi ? :israel:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom