Nilivyozikimbia Mbususu

Aisee umenifurahisha mdau
 
Aisee umenifurahisha mdau
 
Kutoka Oiler kwenda 3rd engineer darasani inakubidi ukae miezi 8. Hiyo kampuni yako inakupaje promotion bila ya kuwa na vyeti vya level husika
 
Sheria za Marine Labour Convection (MLC 2006) kwenye Repatriation inasema baharia atapotaka kushuka lazima apelekwe nyumbani direct. Wewe unashuka Philippines ambapo sio kwenu hakuna kampuni itashughulika na visa yako
 
Kutoka Oiler kwenda 3rd engineer darasani inakubidi ukae miezi 8. Hiyo kampuni yako inakupaje promotion bila ya kuwa na vyeti vya level husika
Hiyo kukaa darasan tena miez nane ni kwa mujibu wa DMI au dunia nzima?
 
Sheria za Marine Labour Convection (MLC 2006) kwenye Repatriation inasema baharia atapotaka kushuka lazima apelekwe nyumbani direct. Wewe unashuka Philippines ambapo sio kwenu hakuna kampuni itashughulika na visa yako
Sikushuka kwa sabab nimemaliza mkataba bali nilishuka ili kuweka sawa baadh ya vipengele na nilichagu vyuo vya ufilipino kwa sabab nilijua muda huo nitakua pale alaf kuhusu hiyo sheria inayosema si kila baharia anapanda meli yenye ruti ktk bandar ya nyumban
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…